Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I thought I was talking to someone with a brain. Forgive me. 🚮🚮
 
Hii issue ya refinery ya dangote TZ na UG kutokuwemo kunyan wanaumia sana,usione wanajichekesha chekesha,wanajua fika nasi tutajenga refinery yetu,in short kunyan wanataka wanufaike na geography ya TZ
Kinachowauma zaidi ni mafuta yanakuja straight badala ya kwenda kuomba nja 😂😂😂😂 apo bado SGR ta tz hazijaungana walie vizuri 😂😂😂 na sio kwamba hatuna wateja basi tu, tuna agenda na uganda alafu sehem zingine zinafuata
 

Maku wanataka reli yao iunganishiwe upande wa singidazhawa wangese awalindi migongo yao aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…