stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 38,930
- 38,857
na tena zile express ni mbovu saahv itabidi motsepe atumie nduthiInapigwa barabara mpya na BRT ya kuleta mashabiki uwanjani. Sasa kule Ngong Road sijui watafikaje uwanjani au watatumia zile za kunguni?