Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I would really love to see the drive from Mabati Rolling Mills Air port to Dar is a Slum downtown….. I can imagine Uswaziland left and right ..🤷🏾‍♂️🤣🤣🤣
Tafuta videos za Bertin uone hiyo drive kutokea airport to city center. In fact ni ya unyama sana kwasababu all the way ni show rooms za magari, retail centers, industries and a lot of business complexes.
 
Tafuta videos za Bertin uone hiyo drive kutokea airport to city center. In fact ni ya unyama sana kwasababu all the way ni show rooms za magari, retail centers, industries and a lot of business complexes.
si unaona kila mtu hana mda wa kumjibu unamwacha tu aendelee kujipa self healing maaana ndo mida hii ya kurudi korogocho
 
Pale airport JNI terminal 3 kwenye parking lot wanatengeneza BRT terminal, nilipiga hii picha last 2 weeks halafu nikasahau kuipost. 👇🏾
IMG_9548.jpeg
watu watashuka terminal 3 watapanda BRT buses all the way to either BW Mkapa stadium, SGR terminal au city center tu kwaajili ya shughuli zingine.
 
The truth that Tanzanians doesn't want to accept.


View: https://x.com/MihrThakar/status/2098377651433992604

1) report ya 2022
2) WB has a different meaning of slums, they mean areas that arent surveyed and dont have a local administration, however 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 when its about what we understand about slums, then kenya is 3rd in the solar system 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Pale airport JNI terminal 3 kwenye parking lot wanatengeneza BRT terminal, nilipiga hii picha last 2 weeks halafu nikasahau kuipost. 👇🏾View attachment 3668736watu watashuka terminal 3 watapanda BRT buses all the way to either BW Mkapa stadium, SGR terminal au city center tu kwaajili ya shughuli zingine.

ile Parking wameweka BRT? mlango wake unakua wap, mbna itakua mwisho kuchelewa
 
Back
Top Bottom