NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,133
- 19,391
Wewe mwizi unadhani I'm jobless like you? Kazi ni kuibaiba Tu pesa za wazee.
Anyway huko kwenu naona vilio vimezidi
View: https://x.com/CoolestDudeOnX/status/2098274898879648219
Ukiwaambia we are their bosses hawataki kusikia. Unapata wanakwambia eti watatufungia mahindi tutalia yet wao ndio hulia.