Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie ni cursed kabisaa asilimia 70 ya wakenya(locals) maisha yao individually ni mabaya sana, wengi ni maskini, vijakazi kwenye makampuni ya wazungu, hawana Ardhi yani wapowapo tu.. Wakati Mnaemuita maskini Tz ana shamba la heka 100 na halali njaa
 
unajua ukiwa uko maskini na huna mvua ama natural resources zozote inaeleweka...ila mkiwa ndio nchi iliobarikiwa kabisa barani lakini bado mpo 4th world (LDC) inasikitisha sana...hivi, hizo gold, diamond, tanzanite, rainfall mnazifanyia nini? ama ni maridadi tu?
hizi resources tu zinatosha kutajirisha nchi kabisa
 
Mwenye Dhamana Kashakuja.. Si mwingn ni Magu the Greatest.. Yani huyu tutaandamana asitoke kwenye power.. Au huskii habari zake?
Eti Kenya ilikua inaongoza kuuza Tanzanite kuliko Tz si maajabu hayo
Haya kashapiga Ukuta pale block A-D lenye Tanzanite ya kumwaga this time sijui watatokea wapi..Au hujaskia Accacia nusu tumtoe meno na bil190 USD TAX
 
Sasa ninaona baada ya kuona Kenya imeshindwa kupambana na Tanzania, umeanza kuhamisha vita unajaribu kutaka kuingiza Botswana, acha sababu za msingi, nani aliyekuambia Tanzania inaizidi Botswana katika vivutio vya utalii?, wewe acha kuhamisha goli, hapa mtinange ni kati ya Tanzania na Kenya, usijaribu kuitoa Kenya katika hii mechi, kama Kenya imeshindwa kupambana na Tanzania inapaswa ukae Kimya, achana na kulinganisha na nchi nyingine, utalii wa Botwsana uliendelea siku nyingi hata kabla ya uhuru kutokana na kuwa karibu na makaburu wa Afrika kusini, Botswana ina population kubwa sana ya wazungu waliowekeza sana katika sector ya utalii, serikali ya Botswana ndiyo nchi pekee hapa Africa ambayo mapato yake ni makubwa kuliko matumizi, hivyo kubaki na pesa ya ziada inayoiwezesha nchi kujenga miundomsingi yote muhimu kwa ajili ya utalii na mambo mengine, bajeti ya wizara ya utalii Botswana ni kubwa kuliko bajeti za utalii za nchi zote za EA combined. Acha kuzungumza vitu usivyovijua, Kenya imezidiwa na Tanzania katika utalii, unajaribu kuhamisha goli.
 
akulipe kwa knowledge uliyomsokomezea kwenye ubongo wake.
 
Keep telling them! When KQ took a marketing scoop to brand one if it's planes Kilimanjaro,they were all over...mlima,mlima ni wetu...but doing nothing extra to market themselves. Ndio mlima ni wao na KQ inapeperusha wa kuipanda!
Mlima Kilimanjaro tumeutangaza sana, kwasasa watalii wamekua wengi kiasi cha kutishia mazingira ya mlima, serikali imeanza kutoa limit ya idadi ya watalii wanaoruhusiwa kupanda mlima Kilimanjaro kwa mwaka, kwahiyo usidanganye kwa kusema hatuutangazi, we do receive more tourists than the capacity limit.
 
sasa huyo ndio rais aliye na vision...sio wale wa hapo awali ambao wamekuwa tu wakila rasilimali za nchi na kueneza ujamaa na undugu ila mandugu nyie mnaishi katika hali ya uchochole...I repeat, Nyerere was a great leader but his ujamaa system wasted you guys...ndio kachangia katika uLDC wenu huyo jamaa
 
Acha sababu za kukufanya uendelee kuwa masikini, hiyo GDP imetoka wapi kama ninyi ni masikini?, hiyo chai inalimwa wapi?, maua yanatoka wapi?, hao mamilionea wengi mnaojisifia wanapata wapi hizo pesa?.

Tatizo ni sera zenu mbovu za kibepari ambapo wachache wenye nguvu wanachukua kila kitu na kuwaacha wananchi wengi katika hali ya umasikini wa kutupwa. Sasa hivi mnauona utajiri wa asili uliopo Tanzania, hiyo ni kwasababu ya siasa nzuri ya Ujamaa ambapo ardhi na mali asili yote ipo mikononi mwa serikali, inailinda kwa ajili ya wananchi wote, tungefuata ubepari kama ninyi, madini yote yangechukuliwa na Jommo Kenyatta, Odinga family, Moi family na wazungu, msingeiona kama mnavyoiona sasa hivi.
 
Inakuuma eehh tuache na ubwege wetu... Unaitamani kwel tz ka ndio ingekua kenya idiot hahahah
 
Nyerere alikua sahihi kabisa, Na ndoto yake ilikuwa sahihi kwa Kipindi kile, nayeye ndio aliofanya watz wawe na umoja kusiwe na ukabila na udini .. Tz ya nyerere watu walikua wanaheshima iliyotukuka, walikua wanapiga kazi kwa Kushirikiana, kulikua na viwanda vya kutosha, viwanda vya kila kitu sema awam zilizofuata Rushwa ilipoingia na Sera ya ubinafsishaji ndio vikaaribu kila kituu.. Hapa tz ukiongelea swala la ukabila eti kumbagua mtu unaweza ukakatwa hata Panga nashangaa nyie kwenu sijui kitu cha kijinga km hiki kinawezaje kutokea
 
Bahati mbaya kenya haijaiwahi kuicha mbali Tanzania kiuchumi.
Pamoja na kupata misaada mikubwa toka kwa wakoloni wenu. Hakuna chochote mlichofanya hadi leo. Mpaka sasa tunawapumlia.
 
ukosefu wa ajira kwa ma-youth umeifikisha nairobi katika hali hii.

mapanyaroad (muggers) yametapakaa kila kona ya cbd hali ni mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…