Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haha kama hwajakuonyesha tumia Google tafadhali. ..izo Ni nyumba za low grade civil servant au middle class uchwara

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hahahaha sindano imechoma naona:D:D:D
modrn real estate bro
3650-jpg.682427
 
tungekuwa cursed hatungekuwa sasa hivi mbele yenu washamba wa LDC...mmelalia nchi yenye utajiri chungu nzima ila mnakufa kwa umaskini na uLDC...watalii wnu asilimia 99 wanabebwa na ndege za ng'ambo kuwafikisha Serengeti, Zanzibar na kwingine....ujamaa was a curse..
Nyie ni cursed kabisaa asilimia 70 ya wakenya(locals) maisha yao individually ni mabaya sana, wengi ni maskini, vijakazi kwenye makampuni ya wazungu, hawana Ardhi yani wapowapo tu.. Wakati Mnaemuita maskini Tz ana shamba la heka 100 na halali njaa
 
unajua ukiwa uko maskini na huna mvua ama natural resources zozote inaeleweka...ila mkiwa ndio nchi iliobarikiwa kabisa barani lakini bado mpo 4th world (LDC) inasikitisha sana...hivi, hizo gold, diamond, tanzanite, rainfall mnazifanyia nini? ama ni maridadi tu?
hizi resources tu zinatosha kutajirisha nchi kabisa
 
Mwenye Dhamana Kashakuja.. Si mwingn ni Magu the Greatest.. Yani huyu tutaandamana asitoke kwenye power.. Au huskii habari zake? Eti Kenya ilikua inaongoza kuuza Tanzanite kuliko Tz si maajabu hayo Haya kashapiga Ukuta pale block A-D lenye Tanzanite ya kumwaga this time sijui watatokea wapi..Au hujaskia Accacia nusu tumtoe meno na bil190 USD TAX
 
naelewa hilo sana ila hata bila infrastructure, Tanzania ni nchi yenye tourist attractions nyingi sana...hamufai kuwa mnapata tourists wachache kuliko Botswana, Zimbabwe etc...Kuna wakati hata mlikuwa mnapata watalii chini ya Uganda na Kenya kabla ya terror attacks toka kwa alshabaaab...can I ask why? :D:D:D:DBostwana kwanza hata haina wanyama ni nchi kavu tu...TZ has serengeti but it receves less than 2 mil tourists:D:D:D:Dndio maana huwa tunawadharau hapa JF...sio kwa bahati mbaya bro...ujamaa uliwamaliza kabisa...heri mngekuwa capitalists Tanzania ingekuwa mbali sana aisee...Nyerere was a great leader but he wasted you guys with that ujamaa mentality...a country with so many resources should not be an LDC...DRC also has alot of resources but it is LDC...but we can understand because it has had civil war for many years...
Sasa ninaona baada ya kuona Kenya imeshindwa kupambana na Tanzania, umeanza kuhamisha vita unajaribu kutaka kuingiza Botswana, acha sababu za msingi, nani aliyekuambia Tanzania inaizidi Botswana katika vivutio vya utalii?, wewe acha kuhamisha goli, hapa mtinange ni kati ya Tanzania na Kenya, usijaribu kuitoa Kenya katika hii mechi, kama Kenya imeshindwa kupambana na Tanzania inapaswa ukae Kimya, achana na kulinganisha na nchi nyingine, utalii wa Botwsana uliendelea siku nyingi hata kabla ya uhuru kutokana na kuwa karibu na makaburu wa Afrika kusini, Botswana ina population kubwa sana ya wazungu waliowekeza sana katika sector ya utalii, serikali ya Botswana ndiyo nchi pekee hapa Africa ambayo mapato yake ni makubwa kuliko matumizi, hivyo kubaki na pesa ya ziada inayoiwezesha nchi kujenga miundomsingi yote muhimu kwa ajili ya utalii na mambo mengine, bajeti ya wizara ya utalii Botswana ni kubwa kuliko bajeti za utalii za nchi zote za EA combined. Acha kuzungumza vitu usivyovijua, Kenya imezidiwa na Tanzania katika utalii, unajaribu kuhamisha goli.
 
akulipe kwa knowledge uliyomsokomezea kwenye ubongo wake.
 
Keep telling them! When KQ took a marketing scoop to brand one if it's planes Kilimanjaro,they were all over...mlima,mlima ni wetu...but doing nothing extra to market themselves. Ndio mlima ni wao na KQ inapeperusha wa kuipanda! :D:D:D
Mlima Kilimanjaro tumeutangaza sana, kwasasa watalii wamekua wengi kiasi cha kutishia mazingira ya mlima, serikali imeanza kutoa limit ya idadi ya watalii wanaoruhusiwa kupanda mlima Kilimanjaro kwa mwaka, kwahiyo usidanganye kwa kusema hatuutangazi, we do receive more tourists than the capacity limit.
 
Mwenye Dhamana Kashakuja.. Si mwingn ni Magu the Greatest.. Yani huyu tutaandamana asitoke kwenye power.. Au huskii habari zake? Eti Kenya ilikua inaongoza kuuza Tanzanite kuliko Tz si maajabu hayo Haya kashapiga Ukuta pale block A-D lenye Tanzanite ya kumwaga this time sijui watatokea wapi..Au hujaskia Accacia nusu tumtoe meno na bil190 USD TAX
sasa huyo ndio rais aliye na vision...sio wale wa hapo awali ambao wamekuwa tu wakila rasilimali za nchi na kueneza ujamaa na undugu ila mandugu nyie mnaishi katika hali ya uchochole...I repeat, Nyerere was a great leader but his ujamaa system wasted you guys...ndio kachangia katika uLDC wenu huyo jamaa
 
unajua ukiwa uko maskini na huna mvua ama natural resources zozote inaeleweka...ila mkiwa ndio nchi iliobarikiwa kabisa barani lakini bado mpo 4th world (LDC) inasikitisha sana...hivi, hizo gold, diamond, tanzanite, rainfall mnazifanyia nini? ama ni maridadi tu?
hizi resources tu zinatosha kutajirisha nchi kabisa
Acha sababu za kukufanya uendelee kuwa masikini, hiyo GDP imetoka wapi kama ninyi ni masikini?, hiyo chai inalimwa wapi?, maua yanatoka wapi?, hao mamilionea wengi mnaojisifia wanapata wapi hizo pesa?.

Tatizo ni sera zenu mbovu za kibepari ambapo wachache wenye nguvu wanachukua kila kitu na kuwaacha wananchi wengi katika hali ya umasikini wa kutupwa. Sasa hivi mnauona utajiri wa asili uliopo Tanzania, hiyo ni kwasababu ya siasa nzuri ya Ujamaa ambapo ardhi na mali asili yote ipo mikononi mwa serikali, inailinda kwa ajili ya wananchi wote, tungefuata ubepari kama ninyi, madini yote yangechukuliwa na Jommo Kenyatta, Odinga family, Moi family na wazungu, msingeiona kama mnavyoiona sasa hivi.
 
unajua ukiwa uko maskini na huna mvua ama natural resources zozote inaeleweka...ila mkiwa ndio nchi iliobarikiwa kabisa barani lakini bado mpo 4th world (LDC) inasikitisha sana...hivi, hizo gold, diamond, tanzanite, rainfall mnazifanyia nini? ama ni maridadi tu?
hizi resources tu zinatosha kutajirisha nchi kabisa
Inakuuma eehh tuache na ubwege wetu... Unaitamani kwel tz ka ndio ingekua kenya idiot hahahah
 
sasa huyo ndio rais aliye na vision...sio wale wa hapo awali ambao wamekuwa tu wakila rasilimali za nchi na kueneza ujamaa na undugu ila mandugu nyie mnaishi katika hali ya uchochole...I repeat, Nyerere was a great leader but his ujamaa system wasted you guys...ndio kachangia katika uLDC wenu huyo jamaa
Nyerere alikua sahihi kabisa, Na ndoto yake ilikuwa sahihi kwa Kipindi kile, nayeye ndio aliofanya watz wawe na umoja kusiwe na ukabila na udini .. Tz ya nyerere watu walikua wanaheshima iliyotukuka, walikua wanapiga kazi kwa Kushirikiana, kulikua na viwanda vya kutosha, viwanda vya kila kitu sema awam zilizofuata Rushwa ilipoingia na Sera ya ubinafsishaji ndio vikaaribu kila kituu.. Hapa tz ukiongelea swala la ukabila eti kumbagua mtu unaweza ukakatwa hata Panga nashangaa nyie kwenu sijui kitu cha kijinga km hiki kinawezaje kutokea
 
Nyerere huyu hapa...a big waste to Tanzania...good for his political tenure, terrible for the economy...tanzania ni maskini sababu ya huyu jamaa
Africa’s greatest leader was a heroic failure
Tanzania at 50: Does Nyerere deserve the blame and praise for the country’s economic failure and political success
Bahati mbaya kenya haijaiwahi kuicha mbali Tanzania kiuchumi.
Pamoja na kupata misaada mikubwa toka kwa wakoloni wenu. Hakuna chochote mlichofanya hadi leo. Mpaka sasa tunawapumlia.
 
ukosefu wa ajira kwa ma-youth umeifikisha nairobi katika hali hii.

mapanyaroad (muggers) yametapakaa kila kona ya cbd hali ni mbaya sana.
7d4c512b9dac08ed73b5b33b8a067d79.jpg
2c4a6a1a5151ba343054cf375b44769c.jpg
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom