Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mtoto wake kaja kaendeleza kabeba benki, na express way pesa znaingia kwake 🤣🤣🤣 kwa kifupi wanashindana nan anajua kuwapiga wananchi zaidi ya mwenzake 🤣🤣
Ile airport yao kubwa zaidi Inayovuja mvua ikinyesha kwa sehemu ni Mali ya the mighty grandpa & family, the Good immortal Jomo himselfu.
Willy alitaka kupeleka pua yake pale akaleta wahindi wanaitwa sijui wanaitwa adani, ile vita alipigwa alisanda chap, kenya ni ya wenyewe. But I sometimes find that the good grandpa, the legendary land grabber was too good for these kunyans .
 
Sema huyo rais wenu unamshadadia ni very low score, tukipata mtu sahihi hii nchi tutageuka china chap , yaani we have all it takes , yaani kuzalisha bidhaa ndani ya Tz ni very cheap, ingetupa advantage ya price leadership plus the leverage on the strategic geographical location. Kwa mfano, bia kama serenget lite ina potential ya kupenya kenya, UG, Ethiopia,DRC, Zambia, Malawi etc,
But bahati mbaya tuna viongozi vilaza.
 
Kuna kitu lemon na Serengeti apple acha tu
 
issue ata sio viongozi, kuna takwimu moja ilifanyika kama 2 years back ilisema kwamba ukilinganisha tanzania na nchi zingine hata zinazotuzunguka, kila aliepo bongo anawaza atapata wap ajira badala ya tutaanzisha nn, hio mindset inasababisha kuhisi kama kila kitu anatakiwa kufanya serikali wakati nchi zote kubwa makampuni yote unayojua wewe hadi advancement za tech tunazoziona leo ni jitihada za watu mmoja mmoja kuwaza kitu cha tafauti, unfortunately kwa nchi yetu wengi bado wanasubiria viongozi wafanye, ndo kidogo kuna mwamko umeanza mfano kama ila mofat ni ya mtu binafsi, na ndo nchi zilzioendelea zinaendeshwa ivo
 
Ile airport yao kubwa zaidi Inayovuja mvua ikinyesha kwa sehemu ni Mali ya the mighty grandpa & family, the Good immortal Jomo himselfu.
Willy alitaka kupeleka pua yake pale akaleta wahindi wanaitwa sijui wanaitwa adani, ile vita alipigwa alisanda chap, kenya ni ya wenyewe. But I sometimes find that the good grandpa, the legendary land grabber was too good for these kunyans .
but why would he name his land after his surname 😭 😭 😭 inauma sana, yaani leo hii niitwe nationality ya jina la ukoo la mtu 😭😭😭😭
 
Ile airport yao kubwa zaidi Inayovuja mvua ikinyesha kwa sehemu ni Mali ya the mighty grandpa & family, the Good immortal Jomo himselfu.
Willy alitaka kupeleka pua yake pale akaleta wahindi wanaitwa sijui wanaitwa adani, ile vita alipigwa alisanda chap, kenya ni ya wenyewe. But I sometimes find that the good grandpa, the legendary land grabber was too good for these kunyans .
kuna tenda walisaini na yule bonge wa zimbabwe, sasa unajiuliza yule mzee na ujenzi wap wap wakati yeye ni mzee wa totoz 🤣 🤣
 
Hao hawana akili ndio maana mchina akawajengea mistesheni mikubwa hadi sehemu zisizo na population kubwa.
hata ingekua mm lazima nilipue,, yaaani wa nyuma kajipigia saahv ana hela mpaka anataka kurudi kwenye siasa alafu mm ndo nionekane saviour 🤣🤣
 
You're the ones upgrading Makwapa. Talanta has an extra 5k seats for the disabled making it 65k. Makwapa on the other side was 60k suddenly tunaskia imefika 65k. Like, you upgraded it and increased the seats without any structural change to the stadium itself.😂😂😂 Normally when the quality of stadiums is increased without changing its structure, the capacity reduces, it doesn't increase.😂😂
Maybe you need to rewrite in Swahili.. otherwise lack of comprehension will only increase chances of a Kibera response …😁😁😁
 
Egypt ni habari nyingine kaka, kimuondombinu Egypt haifanyi catch up na miundombinu ya kizamani ya miji za US,tunavyoongea hivi sasa Egypt inajenga miundombinu ya dunia ya leo inayojengwa kama kwene miji za China n some cities in middle east.

Hii hapo walizindua hivi karibuni the largest millitary HQ on earth. 👇🏾 ipo kwenye mji wao mpya New Cairo. YouTube hiyo New Cairo n get to see what they are really doing there , halafu uje uniambie hapa kama upo mji wowote wa US wenye uko na hizo standards zenye wanaweka paleView attachment 3665159..
Hii ni upuuzi!
Hata sisi kama tunataka sifa tunaweza kujenga haya mavitu. Wanayo fanya Rwanda, Ethiopia, Kenya na nchi nyingine za Africa ni show off ili kuonekana wameendelea wakati maisha halisi ya watu wao ni magumu sana case ya South Africa pia.

Miradi tulioifanya kwa pesa zetu, SGR, ndege mpya, JNHP na mengine mingi ungekuta tuna miji ya kisasa na mikubwa ajabu na tunatrend sana mitandaoni kuwa tumeendelea.
 
Back
Top Bottom