Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kasarani stadium neighboring areas

Makwapa siku hizi ni 65k? 😂😂
It went up after Talanta construction commenced… Now that Talanta is 65 k officially , look forward to Makwapa going up to 70k on paper … Ujamaa village inferiority complex at it’s best .. 🤣🤣🤣🤣
 
It went up after Talanta construction commenced… Now that Talanta is 65 k officially , look forward to Makwapa going up to 70k on paper … Ujamaa village inferiority complex at it’s best .. 🤣🤣🤣🤣
and what about the grass 🤣🤣🤣
 
na hakuna wanachoweza kufanya, kuna clip nlona juzi mosiria analalamika eti, nyie wasomali mnafanya maksudi kuachia sewage kisa mna hela 🤣🤣🤣🤣
Hao hawawezi kuwagusa wanujua mziki wao , ni kama ambavyo hawawezi gusa wabongo waliopo kenya , ndio maana bwana William luto(Loot-all) ameamua kichagua wanyonge, wahutu toka burundi 😄😄😄
 
sasa itakuaje na ndo major export 🤣🤣
1788805984944.png
 
Maku wale wachezaji wa chan kila siku wanakuja kucheza champion league na confederation,watanzania wanawaona,halafu wakati wa chan pia nchi ilikua imetoka mtikisiko,afcon watu watataka kwenda kuwaona kina hakim,mbeumo,mane,salah n.k,full house mkapa,arusha na fumba itakua ya kutosha,nyie mlikua mnajazana kwenye kwanza sababu ya ushamba ya ile renovation ya kisirani na tiketi za bure
Mganga na umbwa.
 
Back
Top Bottom