stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,805
- 41,340
i think in the next meeting watafute tu uwanja mwingine, kasarani ndo hio tushaitoa hii ingine ndo kwanza wanarudia nyasi, yale yale ya CHAN Mpwimbe and zimebaki 2 months and 3 weeks for the final inspection and handover, mambo yenyewe ndo haya
AKibua imaliziwe haraka mambo mengine yaende huu ni upuuzi sasa ❎ ❎ ❎ ❎
View attachment 3664740
View attachment 3664741
View attachment 3664743
nliisoma hio mpaka wanatia huruma, kwa kifupi kasarani is gone, na iliobaki ndo kwanza wanarudia kupanda nyasi 🤣 🤣 🤣 we are left with 2 months and 3weeks tohandle over everything 🤣🤣🤣🤣 atleast uganda ashamaliza mapema yuko zake anarembesha barabara na kumalizia namboole. BTW unajua who was the reason CHAN was postponed? this will be a lesson next time tukiwa tunachagua wa kupatner nae
Ni kama tz washausoma mchezo spidi ya uwanja wa Dodoma si haba , kufikia December watakuwa mbali sananliisoma hio mpaka wanatia huruma, kwa kifupi kasarani is gone, na iliobaki ndo kwanza wanarudia kupanda nyasi 🤣 🤣 🤣 we are left with 2 months and 3weeks tohandle over everything 🤣🤣🤣🤣 atleast uganda ashamaliza mapema yuko zake anarembesha barabara na kumalizia namboole. BTW unajua who was the reason CHAN was postponed? this will be a lesson next time tukiwa tunachagua wa kupatner nae
wanaukimbiza sio poa na nlimwambia Geza Ulole ule uwanja CAF washasema uishe na AKIBUA lazima uishe, japo havijapangiwa mechi zozote lakini CAF wamesisitiza hivo viwanja viishe 🤣🤣🤣 au namna gan NicxieNi kama tz washausoma mchezo spidi ya uwanja wa Dodoma si haba , kufikia December watakuwa mbali sana