Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eeh hii battle ya Dar na Nairobi haitakwisha 🤣 Nimeona picha za uwanja wetu wa Mercedes, hao watu wa Nairobi wanajisahau kweli. Lakini tukae wakweli, AFCON hii itakuwa moto, kila upande una story yake. Mimi niko Dar side but Nairobi wana point flani kuhusu infrastructure zao. Tusubiri tuone nani atacheka mwisho 😂
Ungejua walichoambiwa uko baada ya CAF kupita, ni swala la kuwaonea huruma, yaani $30M and you only host 6 matches , ni huzuni 😭😭
 
Hail to the jungle !… 🫣🥵🤣🤣
And whats funny kuna kastadium kapo pale town kwenye vumbi kabisa na hakajapita 😭
1788625749355.png
 
Back
Top Bottom