stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,834
- 37,326
Kaka kumbe kusoma tu hujui, sasa kwanini tunabishana.? 😂😂😂.. hebu nionyeshe kutoka kweme hii post yako project niliyopost mimi.👇🏾😂😂😂Project inaitwa empire tower. Simba developers wako na Empire tower moja na ni hiyo nimepost. Weka hapa link ya hiyo empire tower yako maanake unakana yangu.😂😂
Ndio hii Website yao bradhee.😂😂😂
Project ilishaisha na ni 15 floors. Wewe ni muongo sana Samaboyi.View attachment 3661299
View attachment 3661298
Haya, weka link ya project yako. 😂😂😂Kaka kumbe kusoma tu hujui, sasa kwanini tunabishana.? 😂😂😂.. hebu nionyeshe kutoka kweme hii post yako project niliyopost mimi.👇🏾😂😂😂
Yaani uko number 10 na umeshaanza kuhema mpaka unapost 12 floors ambayo iko complete 😅Oky at number
11. We have empire Tower. 20 floors building in Upanga. View attachment 3661286Here is the status of the project from Simba developers website. 👇🏾View attachment 3661287
Bro hakuna kitu huwauma wakunya kama kupost maendeleo ya Tanzania mitandaoni halafu usipost nchi yao.Acheni roho mbaya wanuka mavi, kwanini mna report account zake zifungwe.? 😂😂😂
ushaanza kuona competition who is dirtier 😂
View: https://x.com/AugustinGithaka/status/2094470594775367736?s=20
😂 😂 😂 mm napenda kucrash EGO zao, because wanapenda waonekane wazungu 😂😂Bro hakuna kitu huwauma wakunya kama kupost maendeleo ya Tanzania mitandaoni halafu usipost nchi yao.
Nina ushuhuda kupitia Facebook page yangu, imagine wanakuja kulia hadi inbox ili nipost nchi yao. 😂😂😂
Huwa nafanya kusudi napost Tanzania na nchi zingine then wao siwapost, wana vitisho vya kijinga ila huwa nawakomesha balaa.
Anakataa sii hiyo na hawezi post the real thing. 🤣 🤣 🤣Yaani uko number 10 na umeshaanza kuhema mpaka unapost 12 floors ambayo iko complete 😅
View attachment 3661307View attachment 3661308View attachment 3661309
Najiuliza sana maswali, kwanini wanatuonea wivu kiasi hawataki dunia ijue nchi yetu inafananaje.? 😂😂😂😂.Bro hakuna kitu huwauma wakunya kama kupost maendeleo ya Tanzania mitandaoni halafu usipost nchi yao.
Nina ushuhuda kupitia Facebook page yangu, imagine wanakuja kulia hadi inbox ili nipost nchi yao. 😂😂😂
Huwa nafanya kusudi napost Tanzania na nchi zingine then wao siwapost, wana vitisho vya kijinga ila huwa nawakomesha balaa.
picha linaanza wanacompete nan mchafu zaidi ya mwenzake 😂😂😂Wazee wa misifa! Sasa pipeline na hiyo clip tofauti ipo wapi?
we mzee kuna namna ya kucheza nao 😂😂 yaani the goal ni kuwasifia alafu break the whole EGO 😂😂😂 kwa mfano waambie capital of africa alafu unashusha na picha kama hii 😂😂😂Najiuliza sana maswali, kwanini wanatuonea wivu kiasi hawataki dunia ijue nchi yetu inafananaje.? 😂😂😂😂.
Yaani uko number 10 na umeshaanza kuhema mpaka unapost 12 floors ambayo iko complete 😅
View attachment 3661307View attachment 3661308View attachment 3661309
Hawa walevi au. 😂😂😂😂.Anakataa sii hiyo na hawezi post the real thing. 🤣 🤣 🤣
Nina uhakika hicho kipage chako unapost Kenya sana ila unaipost in negative light kama ilivyo kawaida yenu. Kama nadanganya hebu kiweke hapa tuchambue.Bro hakuna kitu huwauma wakunya kama kupost maendeleo ya Tanzania mitandaoni halafu usipost nchi yao.
Nina ushuhuda kupitia Facebook page yangu, imagine wanakuja kulia hadi inbox ili nipost nchi yao. 😂😂😂
Huwa nafanya kusudi napost Tanzania na nchi zingine then wao siwapost, wana vitisho vya kijinga ila huwa nawakomesha balaa.
Nchi yao ikipostiwa huwezi kuta Mtanzania akishoboka ila sasa subiri Tanzania ipostiwe. 😂😂😂Najiuliza sana maswali, kwanini wanatuonea wivu kiasi hawataki dunia ijue nchi yetu inafananaje.? 😂😂😂😂.