Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 896
- 1,068
Nina uhakika hicho kipage chako unapost Kenya sana ila unaipost in negative light kama ilivyo kawaida yenu. Kama nadanganya hebu kiweke hapa tuchambue.Bro hakuna kitu huwauma wakunya kama kupost maendeleo ya Tanzania mitandaoni halafu usipost nchi yao.
Nina ushuhuda kupitia Facebook page yangu, imagine wanakuja kulia hadi inbox ili nipost nchi yao. 😂😂😂
Huwa nafanya kusudi napost Tanzania na nchi zingine then wao siwapost, wana vitisho vya kijinga ila huwa nawakomesha balaa.