Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku VAR and goal line technology itawekwa at Talanta Stadium Jamaa atajinyonga😂😂🤣
I like how his every wish for Talanta is turning against him right in his own eyes. Deep down jamaa anaumia sana and wishing he never said anything about this stadium Talanta
 
We should not focus on power export; instead, we should focus on how to increase demand for power through industrialization and other energy-intensive economic activities. This will have a multiplier effect in reaching a $ 1 trillion economy by 2050.
Very good thinking
 
walikua wanategemea kuwekewa zile extra fiber 😂
Ulikuwa unasemaje kuhusu fibre?😂😂

1000380643.jpg
1000380644.jpg
 
We should not focus on power export; instead, we should focus on how to increase demand for power through industrialization and other energy-intensive economic activities. This will have a multiplier effect in reaching a $ 1 trillion economy by 2050.

Kazi kwa TISEZA hii, kama jinsi wanavyoweka vivutio kwa wawekezaji kwenye mambo ya Kodi na kuwapatia maeneo ya uwekezaji na kutafuta vibali, hii package ya Umeme waitumie pia .

Kwa heavy industry na hasa viwanda vipya ambayo vitazalisha bidhaa ambazo hazipo kabisa hapa bhas wanaweza kuweka Bei chini zaidi ya Umeme. Ila kuwavutia zaidi.
 
It's not artificial grass Nyamwezi. It's synthetic fiber. Kuna tofauti kubwa sana kati ya artificial grass na synthetic fiber.
Hybrid pitches hazitumii artificial grass

Tunawapigia kelele kwa sababu mlisema haitakuwepo (hybrid pitch).

Pili, tunawapigia kelele kwa sababu Tanganyika nzima hakuna uwanja iko na hybrid pitch. Umesikia kilaza?
synthetic fiber = Artificial grass. Nenda shule
 
 
Back
Top Bottom