stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,499
- 39,741
watu wanadhan ni kwa ajili ya kuuza tu 😂😂Kazi kwa TISEZA hii, kama jinsi wanavyoweka vivutio kwa wawekezaji kwenye mambo ya Kodi na kuwapatia maeneo ya uwekezaji na kutafuta vibali, hii package ya Umeme waitumie pia .
Kwa heavy industry na hasa viwanda vipya ambayo vitazalisha bidhaa ambazo hazipo kabisa hapa bhas wanaweza kuweka Bei chini zaidi ya Umeme. Ila kuwavutia zaidi.