Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kingine hiki hapa kipya fresh kutoka jikoni 🤣🤣
1000377754.png

Masidisi benzi cabros international stadium 🤣🤣🤣
 
Nicxie hatujamalizana, ulisema umemaliza kusoma wakasema ni nn na nn tena
1787435317762.png

kwa lugha nyepesi waliokua wanajua stadium ni nn waliita hii cowshed beseni 😂😂😂😂
 
MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
 
Back
Top Bottom