stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,299
- 33,833
nlikua advocate wa umeme ukasema ni ccm wanaandika, saahv umetukimbia tena hutak kuskia mambo ya umemeAfter mambo ya Serengeti foldable seats alihama mambo ya stadiums za kwao . Sasa yeye ni advocate wa stadiums za Uganda, Rwanda na Morocco …Amesahau kwao 🫣🫣🫣😆😆😆😆😆😆😆
View: https://x.com/Uchumi360/status/2089094387078709264?s=20
nmekuja stadiums bado hamnitaki, sasa nifanye nn 😂😂 nachoka mwandambo
