babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,409
- 36,000
Nakumbuka wakiandika propaganda mitandaoni ati Watanzania ni lazy, siku hizi wameacha baada ya kujua ukweli. 😂😂😂Si wanasemaga ni wao wenye mashamba Tanzania na wao ndio wenye strong distribution of electricity vipi mbona wanashangaa na watanzania ni lazy bones and uneducated wajamaa 😂😁