stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,195
- 33,768
View attachment 3655463
View: https://x.com/joeagoi/status/2091381449249222689
MY TAKE
Kuna watu wanaumia!
nothing to compete apo, MMoja ana reli ya umeme wa nyumban inaenda moja kwa moja mpaka mlangoni kwa nchi 4, mwingine ana reli ya stone ages ambayo haibebi mizigo mizito,
mwingine ana bandari mpya ambayo inabeba 100% world goods container, mwingine bandari yake ina miaka 8 na kila mtu akienda kupumzika apo wanampost kama cargo handling