Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tumebadili mchezo,umeskia tena corruption miaka ya hv karibuni?Watu tunalipa kodi sahv hakuna ujanja ujanja,mega projects now zinakua implemented hakuna tena kuahirisha ,
Tunachosema ndio tunachotenda...Mi naamini are nyie kuna vitu mnaviona kuweni wakweli na wawazi....ndani ya uongozi huu tumebadili mambo mengi sana kaka
Mambo gani mmebadili wakati bado mmekwama kwenye lile tope. Mjinasue kwanza ndo mje muongee na wanaume
 
Nairobi hakuna uswahilini babu.
kwani wewe neno uswahilini unalielewaje?.

embu tazama hapo chini halafu rudi tena tujadiliane.

02c9127b404162338eeb28a7c399c3f6.jpg
 
Ok,from today onwards hatutaki kuona those dwarf twin towers za Dar! Hata kwenu wakoloni walikua na hata masultan mbona hawakuwaachia hata 20% ya maendeleo!
Wataachaje wakati kwao ni kenya Nairobi kwenye hali yao ya hewa nzuri.Huoni wamerudi nyumbani na kambi Lao kubwa la kijeshi na kuwabakia wanawake zenu au unafikiri hatuji.
 
The same old, boring narrative from bongolalas. Laleni kabisa ndugu zetu toka bongo mkiendelea kulalamika jinsi wazungu walivyojenga Kenya. Hata nyinyi mlikuwa huru kuwaleta wawajengee nchi yenu walivyotujengea sisi. After all is said and done, the country in front of you ni Kenya. Maendeleo ya kenya itawauma sana mkose usingizi ila hamtatufikia kamwe
Yatatuuumaje wapenda kiki nyie mnaishi kwa vituko na majigambo ili dunia iwajue.Al shabab waliwashinda mkasingizia Elitrea inawasaidia hamuoni hata haya
 
garisaa county.....
3f2a71bf8d6b01b1d8def1e944845a63.jpg
a5b7e70c41180385f8307d6477bfedcc.jpg
601d4965fd7adea0d6b5b76de8a7c634.jpg

9b705ec22260a6999e5a465e15eb3a4d.jpg
92d50045facec8b929ced562bd9374a9.jpg
c92deefe3034f83b3a5d44caabb66179.jpg
798d114401d9098455076de7223162f3.jpg
e98479769fbc8d8967b66b12ba604041.jpg



6dafb9be6090589c2c901525a64549db.jpg
af082c86660d0ecc809f296950f5eb97.jpg
d2260dddf663c8c531a466258f70a622.jpg
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/b351ef3ff80011ca
[IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/b5033ddf4ccf338d7219460efff22f04.jpg
9da31e6e2648c32f973463cacef9ee25.jpg
567e265ff1c8357e03600bcbf2ca4c60.jpg
1331c1ab3313dd7628de7bc8ce3d2ef6.jpg
62e7dedfe67f2298b151d2e93333d37d.jpg
694da46d96c94bcc63f88941a967fd9b.jpg
a5c1d6e8bc84587a.jpg[/IMG]
978abb3003179b049d09c70993c34179.jpg
ebbb9978159addcf1c682e7975ce7b48.jpg
 
naliamsha dude kidogo la rafiki zangu wakenya:

shikamoo wakikuyu...hakika wakikiyu sio watu wa mchezo.

wakati nyumba nyingi binafsi za dar es salaam zinamilikiwa na watanzania mbalimbali toka katika makabila yote ya tanzania,hali ni tofauti kwa nairobi.

aslimia 95 ya nyumba zote za kupanga jijini nairobi, zinamilikiwa na wakikuyu.

wao ndio "ma baba wenye nyumba na wa mama wenye yumba" wa apartment zote ambazo wakenya wa makabila mengine yote wamepanga pale nairobi.

nauliza wakenya, kwanini mliruhusu hali hii kutokea?. hamdhani kwamba kwa hali hii mmetoa nafasi kubwa ya kutawaliwa na watu toka katika jamii moja kwa mda mrefu?.

hizi ni baadhi ya apartment za mkikuyu katika mitaa mbalimbali ya uswahilini ya nairobi.
e2b02493b20629b2b925f54766840769.jpg
0d3515f3ec82cfd0c426d86b388b8783.jpg
6375159e7acf99bf9f87c2ce643343b3.jpg
acde80d2321c6f4827482e28923f7d3f.jpg
28d3b7980494af2612d441afab2c8fce.jpg
ea7dcc4d48808a5967833a9fd0470d19.jpg
da8371f108f81e9d8df70b19eb2edeac.jpg
6c99fb7e08980df30dcc467cf9c82e2c.jpg


na ifahamike tu kwamba, hawa wakenya wote wanaopiga kelele hapa jf kuhusu nairobi, landlord wao ni wakikuyu.
Haya majengo ndo maana yanadondokaga. Yanaonekana mazito sana.
 
garisaa county.....
6dafb9be6090589c2c901525a64549db.jpg
af082c86660d0ecc809f296950f5eb97.jpg
d2260dddf663c8c531a466258f70a622.jpg
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/b351ef3ff80011ca
[IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/b5033ddf4ccf338d7219460efff22f04.jpg
9da31e6e2648c32f973463cacef9ee25.jpg
567e265ff1c8357e03600bcbf2ca4c60.jpg
1331c1ab3313dd7628de7bc8ce3d2ef6.jpg
62e7dedfe67f2298b151d2e93333d37d.jpg
694da46d96c94bcc63f88941a967fd9b.jpg
a5c1d6e8bc84587a.jpg[/IMG]
978abb3003179b049d09c70993c34179.jpg
ebbb9978159addcf1c682e7975ce7b48.jpg
Wow! I think Garissa should be my next travel destination. I never knew that it's so green. Nimepapenda
 
Wow! I think Garissa should be my next travel destination. I never knew that it's so green. Nimepapenda


me too ....I need a tour of northern Kenya....my cousin who works for safcom frequents those sides coz they attract handsome mileage claims
 
Wow! I think Garissa should be my next travel destination. I never knew that it's so green. Nimepapenda
Hivi wewe umechoka kuishi?, polisi na KDF wakiambiwa kuna safari ya Garisa chupi zinaanza kuwabana, wanauliwa huko kama sisimizi waliopuliziwa dawa, wewe tuendelee kusuguana humu JF, huko ukienda huwezi kurudi ninakuhakikishia, labda kama ni muisilamu unaweza kujibu maswali yao.

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
Let's visit garisaa county..
garisa county hata uniambie utalipa
tsh3000000(usd1320) kwa mwezi kama mshahara, siwezi enda ishi.

hii ni moja ya zile county za kenya ambazo hujui kesho yake mtaamka mkiwa katika hali gani kiusalama.

uhakika wa usalama ni asilimia ndogo sana. huwa nawaonea huruma sana wale wakenya toka county zingine wanaopangiwa kwenda kuanza ajira katika county hii.
 
Back
Top Bottom