Nilikua nafikiri iko Meru County kumbe ni Tharaka Nithi!Chuka ingambang'ombe is part of Tharaka nithi county.....
Your comment smells like Hydrogen sulphide.Those guys are just applying basic chemistry lessons they learnt in school to earn a living. I wonder if chemistry is ever taught in Tanzanian 'schools'
garisa county hata uniambie utalipa
tsh3000000(usd1320) kwa mwezi kama mshahara, siwezi enda ishi.
hii ni moja ya zile county za kenya ambazo hujui kesho yake mtaamka mkiwa katika hali gani kiusalama.
uhakika wa usalama ni asilimia ndogo sana. huwa nawaonea huruma sana wale wakenya toka county zingine wanaopangiwa kwenda kuanza ajira katika county hii.
If Kenya had such resources as TZ has,can you just imagine how many millionaires it would have minted!? I'm always shocked that Tz millionaires are not in their tens of thousands!
Kama maendeleo ni hayo ya njaa, umasikini, slums, unemployment, corruption na tribalism, basi ninyi kweli mpo mbele yetu, ila kwa vigezo vingi vya kidunia mpo nyuma sana.Sisi 'hatuna dira kamilifu' lakini ajabu ni kwamba tumewashinda kiuchumi na kimaendeleo. Iweje tena taifa ambaĺo halina dira kamilifu inashinda ile iko na dira kamilifu?
kwani kima cha chini cha mshahara kwa mkenya wa kawaida ni shilingi ngapi?.$1320 per month ndio pesa nyingi kwako? lol. Na kila siku uko humu kuponda watu.
Ndugu yangu, you can yap all you want but it's not rocket science that your country is an ldc while Kenya is not. These two countries are worlds apart. Najua ni ngumu sana kukubali kwamba tumewashinda kimaendeleo lakini huo ni ukweli ambao hautawahi badilika regardless of what you say here on jf.Kama maendeleo ni hayo ya njaa, umasikini, slums, unemployment, corruption na tribalism, basi ninyi kweli mpo mbele yetu, ila kwa vigezo vingi vya kidunia mpo nyuma sana.
Haha! If wishes were horses...
Mlolongo ule ule ungeendelea, familia ya Kenyatta, Kibaki, Moi na wengine wacheche wangekuwa matajiri zaidi.
just wondering....if 2 Kenyan tribes have produced presidents out of 45......Tanzania too has 3 to 4 tribes having produced presidents out of 120 tribes.....yet they troll us as if all the 120 tribes have produced presidents......mmhhh.
rings a bell.........
Unachotaka kulinganisha hakilinganiki...mmekuwa na maraisi wakikuyu watatu, wewe huoni kuna shida hapo?

ambia watu wa kanduku village mwanzaKama maendeleo ni hayo ya njaa, umasikini, slums, unemployment, corruption na tribalism, basi ninyi kweli mpo mbele yetu, ila kwa vigezo vingi vya kidunia mpo nyuma sana.
Unachotaka kulinganisha hakilinganiki...mmekuwa na maraisi wakikuyu watatu, wewe huoni kuna shida hapo?
marais watatu wakikuyu na mkalenjin mmoja...na inasemekana atakayefata after uhuru lazima atatoka kikuyu/kalenjin community.just wondering....if 2 Kenyan tribes have produced presidents out of 45......Tanzania too has 3 to 4 tribes having produced presidents out of 120 tribes.....yet they troll us as if all the 120 tribes have produced presidents......mmhhh.
rings a bell.........

marais watatu wakikuyu na mkalenjin mmoja...na inasemekana atakayefata after uhuru lazima atatoka kikuyu/kalenjin community.![]()
![]()
![]()
marais watatu wakikuyu na mkalenjin mmoja...na inasemekana atakayefata after uhuru lazima atatoka kikuyu/kalenjin community.![]()
![]()
![]()
Mimi ata ukanpea 1b USD siezi ishi mahali 90% ni slum ..acha ikaegarisa county hata uniambie utalipa
tsh3000000(usd1320) kwa mwezi kama mshahara, siwezi enda ishi.
hii ni moja ya zile county za kenya ambazo hujui kesho yake mtaamka mkiwa katika hali gani kiusalama.
uhakika wa usalama ni asilimia ndogo sana. huwa nawaonea huruma sana wale wakenya toka county zingine wanaopangiwa kwenda kuanza ajira katika county hii.
hawana tribalism lakini bado maskini wa kutupwa......I am surprised you guys still argue with Tanzanians, I bet it is a waste of time. Arguing with people who dismiss facts for blind patriotism, instead of accepting facts and learning from reality. It is like me arguing that Kenya is more developed than Botswana or Namibia, truth of the matter is that Kenya's economy is bigger than Botswana economy but in terms of economuc development index (which measures quality of life for its citizens, Botswana and Namibia are developed than Kenya). Similarly according to facts, Tanzania does not have the issue of tribalism and maybe less corrupt than Kenya but more corrupt than Rwanda, but in terms of the size economy and development (human development index) kenya is far ahead. These are the facts that one need to own upto and accept so that you can grow instead of disputing the obvious because of blind patriotism and emotions. I think the main difference between Kenyans and Tanzanians is that Kenya like to own up to their weaknesses and facts, Kenyans will agree they have a challenge of tribalism, corruption, hunger,insecurity, slums and unequal distribution of resources and as a result we come up with solutions to deal with it like through devolution and independent judiciary. Tanzanians like to believe their country is heaven with no problems and they are the best country and economy than anyone elses in Africa if not in the world. Ok let see how one goes far with such mentality even if you apply that mentality to a normal person, you will then see how he goes far in life