Hata ujaribu vipi hapa hauwezi convnce mtu yoyote, nakumbuka kuna ili mada nyengine ililetwa na MTanzania akielezea aliyoyaona alipofika nairobi na wewe ilikua ukijaribu kila juhudi kumkana na zako za sijui 'wakenya ni wakabila, roho chafu, wabaguzi, wanauana" ...yani typical tanzania stereotype, Kenya unajua kwa picha na magazeti tu! Watanznia walio kaa kenya tlutawajua tu hata bila kuuliza kama alifika kenya, ukisoma maelezo yao kuhusu kenya hua unaona details zao ni za kweli kabisa... Lakini wewe hata sidhani kama ushawahi kukutana na mkenya in real life, hata huko bongo!!;
Mtz ama mgeni yoyote ambaye amefika na kukaa nairobi utajua kama kweli amefika within two minutes baada ya kusoma maelezo yake