KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,153
Point ninkwamba, kwanini nchi imeshindwa kutengeneza mazingira mazuri ya kuwapatia ajira wananchi wake, ambalo ndio kipimo cha ubora wa serikali, badala yake Kenya imekua ni source ya economic exiles and refugees?, it is a failed state.
Haya njooni muwabebe Wachaga wote wauzao mitumba Nairobi Gikomba, malaya waTz wa Majengo, beggers na hawkers Wasukuma all over Kenya, muwarudishe kwenu Tz paradise! Wanajitafutia sio? Wakenya pia hivo