nyangau mkenya
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,707
- 3,233
🇰🇪🇰🇪
Tahmeed in ya Tanzania .Mash
Ena Coach
Tahmeed
Bus Car
Dream line
Ama hizo ni kampuni za Tanzania?
Yet you buy your buses and lorries from Kenya😂😂Nimekuambia ukweli kuwa, Kenya hamuiwezi Tanzania kwenye logistic. whether you like or not
Tahmeed in ya Tanzania .
Those companies are negligible & inconsequential compared to Tanzania .
See this one from Dodoma
View: https://www.instagram.com/reel/DbXilycCl3V/?igsh=MWUwNjAwNm5wbDAycw==
Ugly buses. Zipo nne tu na zinatumika vijijini.Yet you buy your buses and lorries from Kenya😂😂
Uzuri mwenye pesa anatambua Kenyan built buses. Mafukara kama wewe ndio bado umebaki ukipiga kelele😂😂🤣
Tanzania has body fabricators since 1990s,The difference is that wakati mnashingilia imports, Sisi tunajivunia locally built buses. No wonder your country will remain poor forever.
Huwezi kuona uchafu kama huo hapa: This are luxury buses and notable companiesUzuri mwenye pesa anatambua Kenyan built buses. Mafukara kama wewe ndio bado umebaki ukipiga kelele😂😂🤣
Ndio hii nasema Consumer preferences kwa Tanzania hawezi toboa na hii midude, Safari ya Dar - Tunduma kuna ushindani mkubwa sana, Masufuria ya namna hii kwenye soko la Tanzania consumers wana standards za juu sana
Tuko KDZ lakini to pass your agenda, you are forced to post a KAY bus. How desperate are you?😂😂🤣👇👇Tanzania has body fabricators since 1990s,
however , due to evolving consumer needs and satisfaction companies need higher level of production differentiation, Fabricators struggle to thrive, nyie bado mko kulekule miaka 1960, traveling in Lories na isuzu trucks.
View attachment 3646912View attachment 3646912View attachment 3646911View attachment 3646913View attachment 3646914
Hao wanaoanza biashara ruksa kupata board za bure toka kenyaUzuri mwenye pesa anatambua Kenyan built buses. Mafukara kama wewe ndio bado umebaki ukipiga kelele😂😂🤣
Ukileta Tanzania hizi zinapiga route vijijini. Hupati customerTuko KDZ lakini to pass your agenda, you are forced to post a KAY bus. How desperate are you?😂😂🤣👇👇
View attachment 3646919View attachment 3646920View attachment 3646921
Huwezi kuona uchafu kama huo hapa: This are luxury buses and notable companies
View: https://www.instagram.com/reel/C8tiZUrO22C/
Asante kwa kubali Dar ni kijiji🤣😂😂Ukileta Tanzania hizi zinapiga route vijijini. Hupati customer
Unajifunza nini hapa bwana TeargassTuko KDZ lakini to pass your agenda, you are forced to post a KAY bus. How desperate are you?😂😂🤣👇👇
View attachment 3646919View attachment 3646920View attachment 3646921
China vs Kenya 🤣 🤣 🤣 🤣 Marekani mwenyewe amenyosha mkonoThese are cheap buses from China. One bus goes for 9M, Kenyan built buses ranges from 25M, MarcoPolo from AVA is 35M.
unajua how long this story has been here 😆 , unajua since when story za westlands has been in construction and unajua how many times i have talked about the side behind the filters 😆😆 this is your destinyWestlands is a construction zone . Heavy machinery is the reason those roads are in such shape and dirst. They are waiting for most constructions to finish. This is what is on the master plan and coming up soon…
No hanging wires in all of Westlands. All cable and electrical wires will move underground before the roads are given fresh carpet of tar . Beautification will go hand in hand with roads renovation.
I am sure you saw that Lavington video posted by Nyang’au Mkenya. Kenya overall and Most of Nairobi is headed that route . It’s only there it’s too many constructions ongoing all over but soon horizontal infrastructure will be attended to. But some neighborhoods are ahead of schedule especially gated ones and they are so many in Nairobi.
Now respond with Kibera to quench your ego …😆😆