stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,200
- 39,330
achana na mpiraNa bado wakanyonya vile unanyonya chakula ya mamako kwa nyumba yake.
achana na mpiraNa bado wakanyonya vile unanyonya chakula ya mamako kwa nyumba yake.
Kwenye Logistics unatakiwa upige kimya na upite wimaAre those long distance buses? You are so desperate 😂😂
btw mmeandaa mashuka lakini pale state house, si unajua tuna jambo letu paleNa bado wakanyonya vile unanyonya chakula ya mamako kwa nyumba yake.
Kumbe hizi likes zote zinakuwanga za kukatia wanaume?😂😂😂Mwenye kuchagua wanaume warefu na wafupi Sasa huyo ndio mbobevu mwandamizi.
si hizi apa long distance buses ama unadhan hatuzijuiAre those long distance buses? You are so desperate 😂😂
Even Bayern Munchen do lose these friendlies to lower ranked clubs,Na bado wakanyonya vile unanyonya chakula ya mamako kwa nyumba yake.
Majirani wao wote hawataki kufanya biashara na wakenya. Alikuwa amebaki Uganda pekee.walishawahi kuchoma embassy yao pale nairobi
Hilo tumeshalijadili. Ni bonanzaTeargass kuna Vumbistan yeyote amepost hizi results ama footballing nation merchants wamelala?😂😂
View attachment 3646967
Hawa wana shida maana hawaelewani na kila JiraniMajirani wao wote hawataki kufanya biashara na wakenya. Alikuwa amebaki Uganda pekee.
1. Uganda wapo na Mgogoro wa Migingo
2. South Sudan + Ethiopia Ilemi Triangle
3. Somalia ndio usiseme.
Kila jirani hataki kufanya biashara na Kenya. Wamekimbilia Nigeria
apana zinakuaga za apaKumbe hizi likes zote zinakuwanga za kukatia wanaume?😂😂😂
Top player wa Kenya Police FC analipwa $900 USD, Huku top player wa Simba SC analipwa $20,000 per Month.Even Bayern Munchen do lose these friendlies to lower ranked clubs,
Simba na polisi kenya sio level moja. Mshahara wa Clatous Chama unalipa the whole squad ya polisi kenia
Kumbe hizi likes zote zinakuwanga za kukatia wanaume?😂😂😂
Wanasema ati waliweka 5th eleven🤣😂😂Teargass kuna Vumbistan yeyote amepost hizi results ama footballing nation merchants wamelala?😂😂
View attachment 3646967
Nairobi to Machakos is 63km, how is that long distance?😂😂si hizi apa long distance buses ama unadhan hatuzijui
View attachment 3646966
Kabla haijaanza hata kufanya kazi, tayari imeshaanza kuwekewa vikwazo 🤣 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/Adventure_36/status/2086339377781789179?s=20
the day somalia wamesema wanaanza kutumia dar port ndo nlijua kweli wakenya wamechokwaMajirani wao wote hawataki kufanya biashara na wakenya. Alikuwa amebaki Uganda pekee.
1. Uganda wapo na Mgogoro wa Migingo
2. South Sudan + Ethiopia Ilemi Triangle
3. Somalia ndio usiseme.
Kila jirani hataki kufanya biashara na Kenya. Wamekimbilia Nigeria