Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante kwa kubali Dar ni kijiji🤣😂😂
Sisi tuko huku. Nyie mnatumia buses tulizotumia miaka ya 1992s. Tunatumia Fiberglass (FRP) board material. Hizo akizileta hapati wateja

1786268209550.png
 
I like that grandpa mu7, and the way he handles his things especially mambo ya oil industry hahah, from EACOP to refinery issues . Kenyans really hate his approaches kwenye mambo ya wese 😀😀😀
nashangaa wanamchukia wakati ata reli yao wanapambana ifike kwake
 
nashangaa wanamchukia wakati ata reli yao wanapambana ifike kwake
Wanafiki na wabinafsi , walishangilia sana ishu ya Dangote na refinery juzi hapa wakaona kama wamemaliza,
Ghafla the Legendary granpa amesaini MoU Tanga wanalalamika eti ana sabotage 😀, Unashangaa boashara ya Uganda na Tanzania kunya inawahusu nini
 
nmemwambia Teargass to focus on the wedding for now
 
These are cheap buses from China. One bus goes for 9M, Kenyan built buses ranges from 25M, MarcoPolo from AVA is 35M.
back days i thought AVA was made by a kenyan and i got confused why kaizerege has to go to china, na kelele zote nkajua basi ni ya wakenya 😂 😂 😂
 
hio inaitwa simba day, its meant to showcase all the signing every 15 mins you make a sub and during half time you change the whole squad mpaka wote wacheze, the same way in CECAFA
Na bado wakanyonya vile unanyonya chakula ya mamako kwa nyumba yake.
 
Back
Top Bottom