stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,191
- 33,641
btw hamna sehem wamesign kwahio wasimlaumu yoyoteWakenya ni safari ndefu ya kichaa, anaenda mbali na anarudi na makopo
btw hamna sehem wamesign kwahio wasimlaumu yoyoteWakenya ni safari ndefu ya kichaa, anaenda mbali na anarudi na makopo
Huyu hapa Mtoto wa Ruto anachezea ndude ya Msukuma toka MwanzaNi bongolalas tu mnashida na Dangote. 😂 😂 😂
Nchi ya Kenya ni uwanja wa Comedybtw hamna sehem wamesign kwahio wasimlaumu yoyote
Ila kumwelewesha Mkunya ni kazi nzito sana.Wewe mzee wa class 6.
Sijasema itakuwa ghost city. After all, mnaweza hamisha wafanyi kazi wote wa serikali kutoka Dar vumbi hadi huko.
Nimesema Makufuli city will never be a true city.
Najua you don't own a passport, lakini ungekuwa umetembea New York, and Asian cities, ungejua majengo hayafichwi nyuma ya kuta na parking.
The only way Makufuli will be a city, ni mkibomoa majengo yote mjenge afresh, with street level shopping/commercial shops etc.
Parking zinafichwa basement.
Ukiwapatia infor kama hizi, wakenya wananuna
View: https://x.com/latax_/status/2085377155614048385?s=20
Do you people even listen to yourselves? 🤣 🤣 The derogatory term you have for Nairobi on this thread is Naipori due to its numerous green spaces which you attribute to lack of development. It is us Kenyans who have been telling you the importance of trees in cities while you argue that trees show a lack of development while bragging about 'building density' in places like Kariakoo where trees are non-existent. Leo hii you want to turn around and start boasting about greenspaces in towns and cities? 🤣 🤣 🤣 🤣Doesn't matter what you say. Green places look beautiful
Hamna tofauti na nyie mnavyopenda maghorofa, mi napenda ukijani
Hutu tuwanaume tufupifupi ndio unaniambia bradhee? 🤣 🤣 🤣 Tumbilikimo kama Traveller D ?🤣🤣🤣 Usinifanye nicheke.🤣 🤣 🤣Sasa hata wewe ungekuwa wa kike si ungetaka mume wa Bongo?
Dada zenu wanakimbia njaa huko wanakuja Bongo kula maisha.
Vijana wadogo wanaoa, wewe bado unajaza choo ya mamako na kubadilisha accounts jamii forum.
Mimi ni baba yako nitakutupia laana, wewe endelea tuVijana wadogo wanaoa, wewe bado unajaza choo ya mamako na kubadilisha accounts jamii forum.
Wala atumpigi nyundo dangote,hii ni biashara kika mtu anaangalia faida atakayoipata,dangote bado ni mshirika wetu mzuri kibiashara ila kwenye hili la oil yy kaona kwetu hakuna faida nasi tumeona nae hana faida,kila mmoja kachagua side yake itakayomfaaWewe ni mtetezi wa Dangote? Tunampiga nyundo m Nigeria, wewe mkenya yanakuhusu?
Laana na bado unaishii kwa mamako.Mimi ni baba yako nitakutupia laana, wewe endelea tu
Hayo ni maneno yenu Gen-Z, hamna heshima kwa baba zenu.Laana na bado unaishii kwa mamako.
Umeongea kikubwaWala atumpigi nyundo dangote,hii ni biashara kika mtu anaangalia faida atakayoipata,dangote bado ni mshirika wetu mzuri kibiashara ila kwenye hili la oil yy kaona kwetu hakuna nasi tumeona nae hana faida,kila mmoja kachagua side yake itakayomfaa
Posts from both of your accounts hua za kitoto, wewe unakaa kwa mamako. Najua sahii unawashwa kurudi kwa hii account yako ya stakehigh upost zile utoto zako.Hayo ni maneno yenu Gen-Z, hamna heshima kwa baba zenu.