Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,652
- 34,279
Hii inaitwa kujipendekeza. Hatujawahi kufanya kikao na kutaka ushirika na Kenya. Ruto alikemewa aache kihere here.here is a recap for context.
1. Ruto proposed and supported a refinery in Tanga
Hayo ni yake, sisi tunafanya yetu. Nyie wakenya ni majirani tu, but hatuna ushirika na nyie2. You guys mocked him in your own parliament
Hakuna aliyemzuia Dangote kuwekeza Kenya. Sisi na Uganda tumeamua kuwekeza na Vitol. So kila mtu afanye yake3. Dangote petered Lamu over deep natural port and the aggressiveness of Kenya
Nadhani hiyo namba 1 inakujibu wewe. Kama hujui tangu May 27, 2013, Dangote alishajenga kiwanda kikubwa sana hapa Tanzania. So Dangote siyo mgeni kwentu4. Tanzania quickly realized they messed up and tried to win Dangote over again by proposing tanga.
Hayo ni yenu hayatuhusu.5. Dangote smelled bs, insisted on Lamu. Ruto assigns Prof Kindiki to make it happen asap
Refinery is part of EACOP, labda wewe tu ulikuwa hujui. Au tukupatie documents uzisome?6. In desperation Tanzania runs to Uganda for a joint mini refinery in tanga, landing a $20b vitol deal
Wanaofanya prediction hizo ni waganga wa kienyeji na waabudu mashetani pekeeHere is my prediction of what's gonna happen;
Lamu will take off within the year, with a mega 700Bpd facility, dwarfing anything in East Africa,
Tz Ug might reconsider channeling resources elsewhere because when will the investment ever break even with billions which the investor seeks to recover and profit out of..
Yaani haya manyang'au yameumia kwelikweli kusikia Tanga nako kutajengwa refinery, ha ha ha🤣😂Hii inaitwa kujipendekeza. Hatujawahi kufanya kikao na kutaka ushirika na Kenya. Ruto alikemewa aache kihere here.
Hayo ni yake, sisi tunafanya yetu. Nyie wakenya ni majirani tu, but hatuna ushirika na nyie
Hakuna aliyemzuia Dangote kuwekeza Kenya. Sisi na Uganda tumeamua kuwekeza na Vitol. So kila mtu afanye yake
Nadhani hiyo namba 1 inakujibu wewe. Kama hujui tangu May 27, 2013, Dangote alishajenga kiwanda kikubwa sana hapa Tanzania. So Dangote siyo mgeni kwentu
Hayo ni yenu hayatuhusu.
Refinery is part of EACOP, labda wewe tu ulikuwa hujui. Au tukupatie documents uzisome?
Wanaofanya prediction hizo ni waganga wa kienyeji na waabudu mashetani pekee
Wewe endelea kuskia, ulifungua hadi thread hapa Jamii Forum ya kujaribu kushawishi evaluators wa Dangote wachague Tanga na bado wakakataa. Woiiiii aibu. 😂 😂 😂naskia mmempa 30 years tax holiday na Lamu coal deposits! Desperation yenyu ni ya ajabu!
Kila mtu ashinde mechi zake.Wewe endelea kuskia, ulifungua hadi thread hapa Jamii Forum ya kujaribu kushawishi evaluators wa Dangote wachague Tanga na bado wakakataa. Woiiiii aibu. 😂 😂 😂
Wewe hama kwa mamako kwanza ndio uanze kuongelea National issues.Kila mtu ashinde mechi zake.
itakua ushachanganyikiwaWewe hama kwa mamako kwanza ndio uanze kuongelea National issues.
🤣 🤣 🤣 🤣 Umeamua sasa kuwa mchambaji.Wewe hama kwa mamako kwanza ndio uanze kuongelea National issues.
Wewe huwezi niambia kitu na unabishania choo na mamako.itakua ushachanganyikiwa
Which major sport are bongolalalas champions of Africa? Wanjua tu Yanga na Simba, who have never won a continental title.
View: https://x.com/CarolRadull/status/2086070213099827604?s=20
pole sana we understand the pain your going throughWewe huwezi niambia kitu na unabishania choo na mamako.
Read these words from dangoteTanga refinery gani Mr. Methuselah? Hakuna refinery inajengwa Tanga.😂😂🤣
Unawachia mamako nywele kwa sabuni na kila siku uko hapa wasting time ukipost upuzi.pole sana we understand the pain your going through
Read these words from dangote
View attachment 3646396
View attachment 3646397
View attachment 3646398
View attachment 3646399
After that this is what happend next
View: https://www.tiktok.com/@thepresidencyug/video/7640931175938411784
However things didnt go as planned, we can offically tell you the Dangote dream is officially dead
take time uheal mapema because bado hujaliai vizuriUnawachia mamako nywele kwa sabuni na kila siku uko hapa wasting time ukipost upuzi.
sasa ndo unataka kulia 😂 😂 , si huyu apa dangote mwenyeweNdio maana unakaa kwa mamako, akili yako imejaa utoto. Unadhani dreams za Dangote nikama zako wewe mwenye unalishwa na mamako.
Nitaheal ile siku utawacha kujazia mamako choo.take time uheal mapema because bado hujaliai vizuri