Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Makufuli city naijua tena vizuri sana.
Imejaa scattered dwarf government buildings, surrounded by big walls.

Zero private investor.
Zero CBD capability juu kila kitu iko behind walls. Looks like a residential suburb.

Ugly city in 2026, will remain an ugly city in 2066.
Magufuli city huijui wewe fala. 😂😂😂

Magufuli city ( govt city) kwasasa ni mji wenye majengo takribani 35 ambayo yote ni ministries, na wizara zote zilihamia huko since last 5 years. 😂😂😂
Sasa itakua aje ni ghost city.?

Nani kakwambia magufulu tulianza kujenga CBD.? Stupid kunyarendan.
 
Wewe nenda kwanza katawaze 😂😂

Serikali ndio iliahidi ujenzi na ndio huo utekelezaji wake.. au inakuuma mnuka mavu.?
The MoU was for this stadium. What happened to it?🤣🤣😂👇👇
1000361411.jpg
 
Naonaga watu waki over hype hiyo Adis Ababa ati ni future of Africa. 😂😂 Yooo Egypt ndio true future of Africa n yes it also the future of the world, uwekezaji unaoendelea Egypt kwasasa ni Dubai tu na mataifa ya midle East ndio yanaweza kutia pua zao. Egypt is something else bro.
 
Magufuli city huijui wewe fala. 😂😂😂

Magufuli city ( govt city) kwasasa ni mji wenye majengo takribani 35 ambayo yote ni ministries, na wizara zote zilihamia huko since last 5 years. 😂😂😂
Sasa itakua aje ni ghost city.?

Nani kakwambia magufulu tulianza kujenga CBD.? Stupid kunyarendan.
Wewe mzee wa class 6.
Sijasema itakuwa ghost city. After all, mnaweza hamisha wafanyi kazi wote wa serikali kutoka Dar vumbi hadi huko.

Nimesema Makufuli city will never be a true city.

Najua you don't own a passport, lakini ungekuwa umetembea New York, and Asian cities, ungejua majengo hayafichwi nyuma ya kuta na parking.

The only way Makufuli will be a city, ni mkibomoa majengo yote mjenge afresh, with street level shopping/commercial shops etc.

Parking zinafichwa basement.
 
Naonaga watu waki over hype hiyo Adis Ababa ati ni future of Africa. 😂😂 Yooo Egypt ndio true future of Africa n yes it also the future of the world, uwekezaji unaoendelea Egypt kwasasa ni Dubai tu na mataifa ya midle East ndio yanaweza kutia pua zao. Egypt is something else bro.
kuna huo mji wanajenga pale EGYPT sjui ndo wa serikali, amna sehem yoyote duniani panakaribia pale
 
Naonaga watu waki over hype hiyo Adis Ababa ati ni future of Africa. 😂😂 Yooo Egypt ndio true future of Africa n yes it also the future of the world, uwekezaji unaoendelea Egypt kwasasa ni Dubai tu na mataifa ya midle East ndio yanaweza kutia pua zao. Egypt is something else bro.
Ebu saidia wenzako na jibu😂😂🤣👇👇

Wewe mzee wa class 6.
Sijasema itakuwa ghost city. After all, mnaweza hamisha wafanyi kazi wote wa serikali kutoka Dar vumbi hadi huko.

Nimesema Makufuli city will never be a true city.

Najua you don't own a passport, lakini ungekuwa umetembea New York, and Asian cities, ungejua majengo hayafichwi nyuma ya kuta na parking.

The only way Makufuli will be city, ni mkibomoa majengo yote mjenge afresh, with street level shopping/commercial shops etc.
kwan has kenya ever achieved any true city?
 
Back
Top Bottom