Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakumbuka Dangote alikuwa anataka kitalu cha makaa ya mawe kwa bei chee huko Songea akakataliwa, kipindi kile alianza kuleta mbwembwe. Ameambiwa Nafasi yake ni kuwekeza kwenye Biashara ya Mbolea kama hataki wengine watawekeza kwenye mbolea hapo Tanga.
Mjinga Kweli jamaa ana kinyongo! Ngoja tuone kama Lamu refinery itatoboa mbele ya Tanga refinery!
 
EACOP hits 91% completion​

Ndoto ya bomba ilikufa, hata ndoto ya Refinery itakufa vivyo hivyo.
Sahii watu wana ndoto ya refinery!
 
Nakumbuka Dangote alikuwa anataka kitalu cha makaa ya mawe kwa bei chee huko Songea akakataliwa, kipindi kile alianza kuleta mbwembwe. Ameambiwa Nafasi yake ni kuwekeza kwenye Biashara ya Mbolea kama hataki wengine watawekeza kwenye mbolea hapo Tanga.
Ila trucks zake zinapiga kazi vibaya mno songea to mtwara,ile njia zimejaa zenyewe tu
 
Wakunyaa wako Kilgoris kushuhudia mtoto wa Kibongo akichukua kombe mbele yao..

Ng'ombe sana hawa jamaa... Mafala sana hata dada zao hawawataki.. 😅
Yani unajua hadi Kilgoris?🤣🤣😂😂

Mbafuatilia Kenya Sana.
 
Back
Top Bottom