Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo ndio naelewa kwanini Rais alihamaki Ruto kutangaza mradi Tanga kumbe kulikuwa na makubaliano mengne ongoing na ile ilileta sintofahamu. Siku nyingine muwe mnajifunza protocol nyie chokoraa wa Kenyatta
Ile ilikua move ya Dangote kujaribu kuteka mradi. Akawatumia kenge wa kaskazini kujarubu kuuteka. Ikafeli vibaja na hatoweza kujenga refinery tena, maana hii ya Tanga ni ya Africa mashariki yote. Atakayojenga kenya itakuwa ya Kenya Tu
 
Dangote ni mshenzi! Yaani tujenge pipeline mpska Tanga halafu refinery ikakae Lamu! Watangoja aisee!
 
Endeleeni kushangilia MoU, hivo ndio mlishangilia hii pia🤣😂😂👇👇

View attachment 3645705
Here was all about foreign policy changes. Tanzania alichana na mambo ya Western Sahara na kwa shukran Morocco walitakiwa kujenga huu uwanja.
Magufuli alipokufa hii policy iliondolewa na Morocco hawakuwa tena na sababu ya kufadhili ujenzi wake.
 
Ile ilikua move ya Dangote kujaribu kuteka mradi. Akawatumia kenge wa kaskazini kujarubu kuuteka. Ikafeli vibaja na hatoweza kujenga refinery tena, maana hii ya Tanga ni ya Africa mashariki yote. Atakayojenga kenya itakuwa ya Kenya Tu
Dangote alishanusa ujenzi wa refinery kati ya Tanzania na Uganda, zile kauli za kaongo alikuwa katumwa tu kutest na kuvuruga, bahati nzuri madam President alishanusa huo mchezo ndio maana akamshushua kaongo.
 
Dangote ni mshenzi! Yaani tujenge pipeline mpska Tanga halafu refinery ikakae Lamu! Watangoja aisee!
Yani wewe hohehahe wa mabibo inaitwa Africa's richest man mshenzi? 😂😂.
How satirical!
 
Egypt is really something eslse. Imagine wala hii si New Cairo, Al Alamein city. View attachment 3645808View attachment 3645809View attachment 3645810View attachment 3645811
img_8644-jpeg.3645812
And then there's a list being shared here saying Tanzanians are living a better life than Egyptians! Huu Uzi iko na wazimu wengine sana 😂
 
There is nothing being built in Kenya. What's in Kenya is just noise. The in Tanga is the one going to built. Kubalini mmepigwa kidole. And Dangote is still going to invest heavily in Tanzania na mtashangaa sana.
Sawa.

1000361269.jpg
 
Here was all about foreign policy changes. Tanzania alichana na mambo ya Western Sahara na kwa shukran Morocco walitakiwa kujenga huu uwanja.
Magufuli alipokufa hii policy iliondolewa na Morocco hawakuwa tena na sababu ya kufadhili ujenzi wake.
That explains how useless MoU are😂😀😂🤣
 
Unafanya mchezo kuhost AFCON kwenye kiwanja kimoja, mji mmoja na kujenga kiwanja kimoja huku Tanzania akihost AFCON kwenye miji mitatu huku akijenga viwanja vitatu vipya CAF na FIFA standard, lazima iwaume. 😂😂😂
Uzuri Tanzania will not host any important AFCON match😂😂
 
Yani wewe hohehahe wa mabibo inaitwa Africa's richest man mshenzi? 😂😂.
How satirical!
Dangote alishawaambia kitambo yeye hategemei hiyo pipeline ya Total na hawaskii. By the way, Dangote akitaka kununua hiyo Mafuta ya total haezinyimwa.

Total will sell that oil without blinking 🤣🤣😂
 
Ile ilikua move ya Dangote kujaribu kuteka mradi. Akawatumia kenge wa kaskazini kujarubu kuuteka. Ikafeli vibaja na hatoweza kujenga refinery tena, maana hii ya Tanga ni ya Africa mashariki yote. Atakayojenga kenya itakuwa ya Kenya Tu
Refinery ya Dangote ni 700K BPD ambayo itakua the 6th biggest refinery in the world, serving the continent and the world. Tanga hapajulikani panajengwa nini apart from storage tanks.
 
Reporters really tried to know what the MoU is trying to say wakashindwa. The document was pure vague 😂🤣😂.

1000361596.jpg
 
Back
Top Bottom