Refinery ni ya Dangote sio Ruto.But Ruto ni mwanasiasa. Uhuru = Ruto
Refinery ni ya Dangote sio Ruto.But Ruto ni mwanasiasa. Uhuru = Ruto
Refinery kujengwa lazima kuwe na mikataba. Au inajengwa tu bila agreement yoyote?Refinery ni ya Dangote sio Ruto.
Waliambiwa pia watakuwa wanapiga simu bure. 😂😂😂Wanasiasa wa kenya hawaaminiki katika dunia hii? Tangu Uhuruto waahidi World Class SGR, hatujasahau. Au wewe umesahau?
Yes, ni porojo😂😂🤣So hakuna Agreement yoyote inefanywa kati ya Kenyan Governement na Dangote? Ni porojo tu?
Mikataba inafanywa na serikali, na serikali inaweza badilika. Kenya sio kama bongoslum.Refinery kujengwa lazima kuwe na mikataba. Au inajengwa tu bila agreement yoyote?
Ukiongea Agreement basi ni politics
Utajua hujui😂Mbona hujataja refinery hapo kando ya Tanga? Ama haijengwi tena?🤣🤣😂🤣
Ukiona Refinery inapigiwa kelele kwenye media zote duniani ujue ni porojo. Wakati anajenga Nigeria hakupiga kelele.
Kwahiyo huko kenya hakuna agreement kwenye project yoyote inayofanyika kwenye nchi yenu? Unanikumbusha kipindi cha ukoloni.Mikataba inafanywa na serikali, na serikali inaweza badilika. Kenya sio kama bongoslum.
Hata hii pia naona ni ya kenyaSource kenyans.co.ke 🤣 🤣 🤣 🤣 Blog ya Mama Ngina
Juu hukufuatilia.😂😂🤣Ukiona Refinery inapigiwa kelele kwenye media zote duniani ujue ni porojo. Wakati anajenga Nigeria hakupiga kelele.
Huna ushahidi wa hilo. Tuambie media ipi ilipigia kelele ujenzi wa refinery ya Nigeria?Juu hukufuatilia.😂😂🤣
Kisumu is the best city in Kenya and East Africa.That road is like that due to numerous construction activities happening there. Wewe ebu tuambie why that Arusha road is like that.
Take some classes from Kisumu.
View attachment 3645059
Nani asiyejua kuwa colonizer wa kenya ni Uingereza?
Which Pixel are you using Reuben?Arusha this morning
Greener and cleaner than Nairobi
View attachment 3645087View attachment 3645088View attachment 3645090View attachment 3645091View attachment 3645092
Nadhani neno best huko kenya linamaana tofautiKisumu is the best city in Kenya and East Africa.
So happy,kikubwa hiyo refinery aituhusu kabisa ,😂 maku walitaka wadandie EACOP project kwa kutumia janja janja 😀
Wivu wa Kivumbistani. Hii Pipeline imewaumiza. 😆 😆Dangote ni mshenzi! Yaani tujenge pipeline mpska Tanga halafu refinery ikakae Lamu! Watangoja aisee!
By the way Tanzania has no say on who to sell that Ugandan oil to, even Uganda hawana say hapo. Nyinyi ngojeni Total awuze mtafute zake pole pole.So happy,kikubwa hiyo refinery aitituhusu kabisa ,😂 maku walitaka wadandie EACOP project kwa kutumia janja janja 😀