stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,195
- 33,779
Maybe kwa ndoto. Yani hata raisi wenu hajui hiyo mambo ya refinery 🤣🤣😂Ushaambiwa East africa energy empire, we andaa ela ya kuleta bongo utake usitake
with CRUDE kutoka wap?
Ishaongezeka to $21B tena? 🤣🤣😂🤣Hivi $21B unaziona kama vipesa vidogo
We have crude oil. Tanzania kuna crude oil?😂😂🤣😂with CRUDE kutoka wap?
ongea kikutoke ukimaliza tukunyooshe na kingineMaybe kwa ndoto. Yani hata raisi wenu hajui hiyo mambo ya refinery 🤣🤣😂
The East African Crude Oil Pipeline (EACOP) has a designed baseline capacity of 216,000 barrels of crude oil per day. Hizo 50K ni za kwako na Mama NginaYou think Dangote is building his refinery waiting for Uganda's 50k barrels.
Wengine wakiskiza darasa ulikuwa unafikiria tu masaa ya uji 😂😂
Umeambiwa mradi ni wa Tsh 56 trillion, Tsh 56.000.000.000.000 Tanzanian ShillingIshaongezeka to $21B tena? 🤣🤣😂🤣
Mbona raisi wenu hajaongelea mambo ya Tanga refinery?🤣🤣😂🤣ongea kikutoke ukimaliza tukunyooshe na kingine
Tumeambiwa wapi? Leta evidence ati ni $21B😂😂🤣🤣Umeambiwa mradi ni wa Tsh 56 trillion, Tsh 56.000.000.000.000 Tanzanian Shilling
Sasa tuambie ni dollar ngapi?
View attachment 3645151
Hakuna refinery inajengwa Tanga 🤣🤣😂Hii habari ya Tanga refinery ni maumivu
CRUDE from WHERE HUtak kujibu