RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,415
- 135,046
Mimi niliwaambia sasa hivi Dar inajengwa kuliko wakati wowote. Ni vile tu hatuwezi kusimama barabarani kupiga picha. Na majengo yaishia ghorofa ya 12 au 17 kwasababu ya restriction. Marehemu Tanil kuna kiwanha alinunua hapo Kaunda/Ali Hassan mwinyi road hadi amekufa hakujenga. Alitaka kujenga 15 floors early 2010s akaambiwa hapo mwisho ground plus 3 floors only.Hapana sio mimi ni mzungu alirekodi analalamika kelele za wakati wa ujenzi. 😂😂😂
RRONDO aliwahi kuwaambia just because mnajenga maghorofa msidhani na sisi hatujengi.