Hii essay yote kutetea your ugly architecture and ugly vumbi neighborhoods.Hilo eneo kwenye video ya Goba sio gated neighborhood na ni 25km from the city centre. Hii ndio namna ya ujenzi wa nyumba Tanzania, unatafuta hela unanunua kiwanja unajenga, it's that simple ndio maana sisi citizens wa Tz wengi wanakuwa na uwezo wa kujenga nyumba nzuri. Neighborhoods zetu ziko mixed, watu wa uchumi tofauti tofauti, maduka hapohapo, shule hapohapo, supermarkets hapohapo kila biashara ipo kwenye neighborhood na ndio sehemu inakuwa alive na Watanzania wanapata opportunity za kufungua biashara kwenye hizo neighborhoods wakati zinakua
Hii system ya ku separate neighborhood, kujenga mbali na biashara, kujenga nyumba identical na kuzipanga kwenye grid system sio nzuri. Ndio same system wametumia USA sasahivi kila mtu analalamika how depressing the suburbs have become.
Kwanza hakuna diversity kwenye design ya majengo, pili unakuwa mbali na basic services, hata kununua mkate unapaswa uende na gari, very car dependent neighborhoods, tatu hizo neighborhoods haziongezi fursa ya biashara zinaoperate in strict rules, nne mnazidi kuleta ugumu kwa wananchi wa kawaida kumiliki nyumba maeneo mazuri wanakosa motivation ya kujenga nyumba nzuri ndio maana mko na slums nyingi Kenya
I'd rather live in lively neighborhoods of Dar es Salaam than those depressing nightmares you're building in Nairobi
Hii essay yote kutetea your ugly architecture and ugly vumbi neighborhoods.
Unadhani Nairobi haina hizo. Tofauti ni ati ata uncontrolled neighborhoods zetu ziko na lami, na ziko na urban planning.
Mtu anajenga chenye anataka lakini amenities ziko.
LDC kaa lane yako.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ZO4oRr6QROY
Sasa unaona 25km ni mbali sana. Bongolala wewe.Kwa sababu watu wanajenga kwa kasi kuliko the way government inaweza kukeep up. In future kila infrastructure itakuwepo hapo, the neighborhood is still new and it's growing also ipo 25km from the City Centre
Hii essay yote kutetea your ugly architecture and ugly vumbi neighborhoods.
Unadhani Nairobi haina hizo. Tofauti ni ati ata uncontrolled neighborhoods zetu ziko na lami, na ziko na urban planning.
Mtu anajenga chenye anataka lakini amenities ziko.
LDC kaa lane yako.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ZO4oRr6QROY
Ungekuwa na bundles ungeona hio video si gated community. LDC wewe.Goba is beautiful and we like it that way
Hatutaki Gated communities, zitafanya owning house iwe expensive na itapush Watanzania kuishi kwenye slum mwisho wa siku Dar itakuja iwe kama Nairobi yenu, ilivyojaa slums. Hatutaki 🚮
Sasa unaona 25km ni mbali sana. Bongolala wewe.
Ruiru is also 25 km from Nairobi.
Tofauti ni ati nyinyi mko LDC.
This is what you get in Ruiru.
View: https://x.com/johnmtongoi/status/2081728527813009786
View: https://www.youtube.com/shorts/VF_eErrWOJ0
Kenya is even worse than LDC, uko hapa unaita Tz LDC na nchi yenu iko na maeneo worse than SudanUngekuwa na bundles ungeona hio video si gated community. LDC wewe.
Still 100 times better planned than that ugly Goba.
Mimi niumwe juu ya Goba?Kenya is even worse than LDC, uko hapa unaita Tz LDC na nchi yenu iko na maeneo worse than Sudan
Goba is beautiful na najua unaumia kuona how fast Goba is growing. I know umepapenda Goba
Even a middle class estate in Ruiru is better planned that that Goba.
Leo utameza panga Traxtion 😂😂
Membley, Ruiru
View attachment 3641347
View: https://youtu.be/SFyz0HFZaB8?si=iDvFlsSAe7wmGOXB&t=161
Yeah. Unaumia sana juu ya Goba. Just look at how beautiful Goba isMimi niumwe juu ya Goba?
Unadhani naishi Tandale kama wewe. Ata unilipe siwezi ishi pahali kumejaa vumbi na matope kama huko.
Simba hajishughlishi na ujinga wa mende.
Ukimaliza kumeza panga sijui utafanya nini 😂Small neighborhood, just explains why high population is living in slums