Honestly after watching this, I think Ruiru in Kiambu county has much better middle class neighborhoods .
But since you rekindled my childhood memories today, I will be nice 🫣
No that's not true
Kwanza Kenya mko na gated communities kitu ambacho kinafanya hizo neighborhoods zenu ziwe well planned, that's okay
Lakini kitu cha msingi ni kwamba, Gated communities are not practical for a developing country. Angalia mwenyewe, Tanzania rich na middle class neighborhoods ni kubwa, ni very big kuliko Gated communities mlizo nazo Kenya
Sisi kila neighborhood mpya inapojengwa watu wa kawaida kabisa wanaenda kufungua maduka hapo, wengine wanaanza kuuza vifaa vya ujenzi, wengine wanajiajiri kutengeneza matofali au pavements, wengine wanafungua mini supermarkets, wengine wanajenga shopping plaza yani kila biashara zinafanywa kwenye neighborhood na ni faida kwa vijana wa Kitanzania na ni moja ya vitu vinavyofanya maisha yawe simple
Hiyo Kiambu ipo 16km from City Centre, Goba ni 25km from City Centre ila you'll be amazed by the size of Goba, sehemu ambayo imejengwa nyumba nzuri ni kubwa mno, watu wengi wanajenga nyumba nzuri kwa sababu ujenzi unategemea Watanzania waliojiajiri na unakuwa cheap na mzunguko wa hela among locals unakuwa high, so almost everyone ana afford ujenzi
Ukileta Gated communities in Tanzania zitafail badly. Hakuna anayetaka kukaa neighborhood kama hizo. Hata apartments tu Watanzania hawapendi, let alone gated communities