IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,525
- 9,861
Aisee, nilikuwa nadhani vita yako ni na Kiingereza pekee. Leo nimegundua hata Kiswahili ukiketi kuandika, herufi zinaanza kugombana zenyewe. 🤣Mbona unalia lia kama bibie wa kilifii bi ashaa
Mmesha anza kutumia mfumo mpya?
View attachment 3640011
Ndiyo maana umebakia ukipiga like kila kukicha; kuandika maoni ni kazi kubwa kwako! 😂