Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arusha stadium skyboxes in the making View attachment 3640914View attachment 3640915eastern side if the stadium View attachment 3640917western side 👇View attachment 3640921hilo jukwaa la katikati ni residential ..
naona wakunya walikua wakiulizia jukwaa la residential, now you know.
Section ulikuwa unadhani kutakuwa na VIP seats ndio hiyo washaweka bakuli😂😂

1785512030663.jpeg
 
I told you Finals is Kenya and Opening is Uganda. Ni nini huelewi hapo?
we ni fala kwel, arent you the one who i told you Uganda will take the opening match 4 months back na ulikua unalia apa? and the final kuchezwa kenya who discussed it? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 sicne the last meeting hakuna sehem kenya kapewa final match. Btw unajiskiaje and ungeniskiliza tu toka mwanzo usingeharisha ivi
 
I told you Finals is Kenya and Opening is Uganda. Ni nini huelewi hapo?

Correction: Talanta haina uhusiano na CHAN, i said Uganda has refused kua mnyonge anataka either open and close weeks later news came out A meeting happend in Uganda and it was about the CHAN

Unataka news gan ingine 😂
eti Teargass sasa ubishi ulikua wa nn na kikao kilifanyika mapema sana 😂

View: https://web.facebook.com/pulsesportske/posts/uganda-has-stated-a-clear-preference-for-a-marquee-afcon-2027-role-while-admitti/1584013759754712/?_rdc=1&_rdr#
 
Section ulikuwa unadhani kutakuwa na VIP seats ndio hiyo washaweka bakuli😂😂

View attachment 3640967
Mjomba unalazimisha mambo ili walau upate furaha lakini hupati kwasababu unajua unajidanganya. 😂😂😂. Majukwaa yote yatafungwa VIP seats zenye ni foldable. Tufauti yao ni kwamba eneo la chini kabisa la hili jukwaa ndio lifungwa foldable seats na linaonekana hapo vizuri likiwa wazi.. na katikati ambapo patawekwa presidential appearance 👇🏾
IMG_8390.jpeg
na jukwaa hili 👇🏾 linaonekana wazi kabisa eneo ambalo seats hazijafungwa kabisa 👇🏾
IMG_8391.jpeg
halafu issue ni kwamba skyboxes zipo kila upande. 😂😂😂.

Kama utaamua kulia ulie au unye boga.
 
Back
Top Bottom