Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunduru District, Ruvuma Region 🇹🇿
 
Kitu kingine kuhusu Tanzania
Tuko na Greenery everywhere
Kuanzia North, East, West, South, visiwani (Zanzibar & Mafia)
Only place ambayo haukuti greenery ni some parts of Central Tanzania na mikoa kama Shinyanga na Simiyu ambayo nayo sio kame kama very large part of Kenya
 
Green Kilimanjaro Region
Screenshot_20260730-190424.png
 
Mtu anioneshe mlima wowote ule wa Kenya ambao ni mzuri kuliko Mlima Ol Doinyo Lengai 🇹🇿
 
Back
Top Bottom