AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,310
- 3,258
Hapo amepigiwa faida ya 500 kwa mtu anayeuza sahani 100 kwa siku au gunia moja . Na kawaida kg moja inatoka sahani mbili ila wamepigia atleast 150 per sack au 100 .
Na hapo tunazungumzia watu wenye vibanda vya barabaraani tu sio kwenye bars and the like ambako huko huwa zaid.
Shida wenzetu wanaamini katika ajira na hawaamini hata muuza chomachoma anaweza ingiza zaid hata accounts wa serikali yao🤣🤣🤣🤣
Hao kenge wana umasikini hadi kwenye ubongo wao..
Wanashangaa mkaanga chips kupata profit ya 50k kwa siku!?
Vipi tukiwaambia kibunda wanakunja maafisa usafirishaji boda boda wale wa city center au Kariakoo wanaopiga na delivery? Wale wanapiga kibunda double ya hiyo ya chips. Na ni kila siku wanapambania kombe pale..
Hawa kenge hadi fundi Bomba anakaa na bango kijiweni kusubiri deiwakaaa.... Wakati Bongo hapa ukizama Insta au Facebook unakutana na mafundi wamenyookaa na wanatangaza ujuzi wao huku unaona na kazi zao. Sasa kenge hao wanaleta pigo za enzi za ujimaa in 2026.