Wewe nishakuambia ni maskini na hata nusu huwezi fikia , the last time nimekuoa challenge tu ya business ukachemka , hata passport yenye muhuri mmoja ukachemka, njaa zinawasumbua, 🤣🤣🤣🤣
Sasa kama bado unategemea kuwekeza kwenye saccos ndo utoke utajua biashara lini , njoo mfundishwe biashara muachane na njaa , north eastern Kenya kuna fursa kibao wachina wanaenda kuziina mmekalia kulialia njaa na ruto.
Mtaendelea kujilinganisha na tz wakati wenzenu daily wamove kwa spidi kubwa.
,🤣🤣🤣🤣