Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 1,721
- 4,601
Sasa kuja Tanzania kutembea kwa wiki moja kunatosha wewe kujua mazingira ya biashara kweli.? Tena unaishiaga Moshi vijijini huko.? Umefika Dar kutembea siku mbili i think ilikua last year, tena ulifikia mikocheni.? Ukaenda posta kuhakikisha kama TPA tower ina floors 40 ama lah.? 😂😂😂 you are so funny.Samaboy.
I have been to Tanzania, not once, not twice.
You've never been to Kenya.
I understand Tanzania more than you understand Kenya.
If my judgement of Tanzania is wrong by a half, your judgement of Kenya would be wrong by over 98%.
Unakuja hapa unaleta general overview ya mazingira ya biashara Bongo.? 😂😂😂