Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,579
- 15,463
Hiyo mitaa ilijengwa miaka ya zamani sana huko 2000s wakati Watanzania wana hali mbaya kiuchumi.
Sikuhizi watu wakijenga nyumba nzuri wanahama, halafu nyumba zao za zamani wanatumia kupangisha wageni wanaokuja Mbeya kujitafuta kimaisha, hawazibomoi. Na bado zina afadhali kuliko za Kenya ambazo zimejengwa kwa mabati na matope
Sikuhizi, Watanzania wanakua kiuchumi kwa kasi sana ndio maana leo hii ukija Mbeya kuna ujenzi wa kasi sana mitaa mipya. Kila mtu anajenga nyumba nzuri kwa speed ambayo you'll ever dream of in Kenya. Nyinyi subirini Ruto amalizie zile affordable houses zenu ndio mpate pa kuishi, ambako napo in just 5 years panakua kama Pipeline 🚮