Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,385
- 33,732
Kutuonyesha 20 floors buildings under construction in Tanzania imekushinda?😂😂Wataweza gharama ? Ukiwambia bati tu 150 pieces lazima waingie mitini
Kutuonyesha 20 floors buildings under construction in Tanzania imekushinda?😂😂Wataweza gharama ? Ukiwambia bati tu 150 pieces lazima waingie mitini
Vijana hampendi amani kabisa. 😂😂😂Anza kuonesha yako kwanza, kabla ya yeye
So in short Hana?🤣😂 Yani huwa mnapiga domo hapa mtu anawezadhani mko na kila Kitu, lakini mkiambiwa muonyeshe mnashindwa.Anza kuonesha yako kwanza, kabla ya yeye
Hawezi kuonyesha 😂Anza kuonesha yako kwanza, kabla ya yeye
Thanks for being honest, now keep quiet and learn about bicycle repairs pole pole.My parents live in Rural Tanzania but they have a better house than majority of KenyansView attachment 3639041
Halafu mimi bado ni young, nasoma. Sina nyumba bado, ila najua sitaishi kwenye affordable houses kama nyie 😂😂
I'm still waiting for you to show us.Hawezi kuonyesha 😂
Uko obsessed sana na bicycle repairingThanks for being honest, now keep quiet and learn about bicycle repairs pole pole.
Haya basi, wacha siasa, Give us actual stats. For affordable housing you can clearly see how much you’re required to pay.
Tell us huyo muuza chips anatengeneza hela kiasi gani ili aweze kujenga nyumba ya hela ngapi..
wachana na theory, break it down for us
Wewe ndio ulete picha ya nyumba yako cause you're old enough to own a houseI'm still waiting for you to show us.
Si hiyo ndio Kitu anasomea?Uko obsessed sana na bicycle repairing
So in short you have been busy posting other people's houses instead of yours wewe fundi wa baiskeli?Wewe ndio ulete picha ya nyumba yako cause you're old enough to own a house
Anadhani Tanzania ni Kenya, huko Kenya kuna maeneo hadi leo ni heri hata South SudanUnataka statistics kwa informal sector kweli nyinyi mazumbukuku.🤣🤣🤣🤣
Sasa kwanza nikupe tu hesabu ya muuza chips wa kawaida sana kwa sehem kama Dodoma au aliyekaribu na chuo, stendi na kadhalika .
Faida ya sahani moja huwa ni 500 tsh per plate .
Wengi kwa siku wanauza zaidi ya plates 100 , so wanalala na zaid ya 50,000 hapo hatujaweka hesabu yavipaja vya kukubmishikaki na kadhalika .
Kwa siku 25 anatoka 62500 ksh .
Sasa jiulize kwa hiyo pesa anashindwa kujenga nyumba ya 25mil kwa miaka miwili ?
Buda tanzania sio Kenya.
Huku hata kondakta wa basi au dereva wa kawaida tu anamiliki hiyo mijengo
Akileta nimekaa palee 😀😀😀Wewe ndio ulete picha ya nyumba yako cause you're old enough to own a house
Do you even know how profit and loss in calculated? Kindly tell us how you have arrived to this profit.Faida ya sahani moja huwa ni 500 tsh per plate .
Yeah, hizi ni nyumba za Watanzania wa kawaida huku Mbeya, ambako ndio nasoma sasahivi, just so you know.So in short you have been busy posting other people's houses instead of yours wewe fundi wa baiskeli?
Nyumba za watu WA kawaida Mbeya.Yeah, hizi ni nyumba za Watanzania wa kawaida huku Mbeya,
Anakaa ghetto huyu, na familia yakeAkileta nimekaa palee 😀😀😀
You don't know how to calculate profit and loss.Kwa siku 25 anatoka 62500 ksh .
Hiyo mitaa ilijengwa miaka ya zamani sana huko 2000s wakati Watanzania wana hali mbaya kiuchumi.
Sasa mbona uandike composition when the truth is here?👇👇Hiyo mitaa ilijengwa miaka ya zamani sana huko 2000s wakati Watanzania wana hali mbaya kiuchumi.
Sikuhizi watu wakijenga nyumba nzuri wanahama, halafu nyumba zao za zamani wanatumia kupangisha wageni wanaokuja Mbeya kujitafuta kimaisha, hawazibomoi. Na bado zina afadhali kuliko za Kenya ambazo zimejengwa kwa mabati na matope
Sikuhizi, Watanzania wanakua kiuchumi kwa kasi sana ndio maana leo hii ukija Mbeya kuna ujenzi wa kasi sana mitaa mipya. Kila mtu anajenga nyumba nzuri kwa speed ambayo you'll ever dream of in Kenya. Nyinyi subirini Ruto amalizie zile affordable houses zenu ndio mpate pa kuishi, ambako napo in just 5 years panakua kama Pipeline 🚮