this is last week
Hawa mpaka leo bado wanatumia madirisha ya chuma
Correctionkwa mwaka huu zishafika tatu mpaka tunafunga mwaka lazima zifike nane tuthis is last week
![]()
Collapsed Watamu Beach Resort Claims One Worker, Sparks Fresh Outrage Over Illegal Construction
By Ben Okweingoti.A construction worker was killed and several others seriously injured after a section of a five-storey luxury resort under construction at ...sootv.co.ke
3????????????????? we are talking of 31 mpaka sasaCorrectionkwa mwaka huu zishafika tatu mpaka tunafunga mwaka lazima zifike nane tu
sasa watu wenyewe wanatokea slums bei ya quality house hawaweziHawa mpaka leo bado wanatumia madirisha ya chuma
Hawa mpaka leo bado wanatumia madirisha ya chuma
they are always good in talking alafu the most poorest and have the worst life quality in africaView attachment 3638852
Ndo luxury houses kutwa kujisifia humu Kumbe hata foundation ya kuungwa tu, Tena ghorofa Tano tu.
30 LOW QUALITYBongolala has no highrises to collapse.
For every single 10+ floors under construction in Bongoslum, there are 30 being built in Nairobi.
Hii ni takwimu ya sensa 2022. naweza kukuletea list ya majengo ambayo yapo under construction au kukamilika ya 10-19 floors na hizo 21- 35 floors zinazojengwa recently x3 than this list. Kariakoo alone inajenga more 100 buildings of 11-19 floors tunavyoongea hivi sasa. Miradi ya kati ya 2024 - 2026. and more buildings are coming. Kila siku tunashuhudia majengo ya zamani yakivunjwa ili kujengwa mapyaHakuna haja mpingane. Here is the total number of buildings in entire Tanzania 😂🤣🤣
There are only 194 buildings in Dar with 11-19 floors.
21-35 floors - 32 buildings.
View attachment 3638839