Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Demand and supply determines the price of rent of an area.
Kukiwa na less demand kama ilivyo Nairobi price ina- tend kuwa chini sana as compared to dar ambapo demand Iko juuu hence higher prices.
Kwa mfano huo tu ,inapata picha halisi ambapo kuna consumption kubwa kuliko .
Hiyo tendence ipo kwa all sectors , wakati Kenyan sgr haiwezi jaza premium class Tanzania inabidi kulinganisha emu mbili kwa ajili ya abiria wa kwenda Dodoma na Moro almost daily kumbuka emu moja ni 580 passenger ila premium class Kenya ni coaches mbili zenye total ya less than 60 passenger🤣🤣🤣🤣
Overall Naislum has low quality buildings, infact kila wiki zinaanguka and wats worse wamefungwa 4 na moroco
 
So you are assuming both Nairobi and Dar is a slum have the same amount of supply? Enyewe wewe ni fala.
Usipokuwa na elimu ya kitu flani ukaage kimya.
Hapo unaambiwa kuwa dar es salaam rent inakuwa kubwa sababu demand ya kubwa kuliko supply na Inaweza kutokana na kuwa na larger ongoing economic activities kubwa kuliko , Nairobi demand ilhaiendani na mahitaji nyumba nyingi lakini purchasing power ndogo hence lower price .
Mkasomage economics kwanza , usomi sio kiingereza ila ni we uwezo wa kuelewa, sasa kama mtu kama wewe huelewi demand and supply laws , utajulia wapi masuala fluctuation of rents between cities
 
The reason demand must be high in Tanzania is ;
1. There is no supply of residential buildings.

From the look of things we can see where the demand for luxury building is and where's there is supply as well.

Dar has few deman with no supply, Nairobi has more demand with over supply.
 
Now Bongolalas will be quoting this till 2036. 😂😂😂

Same way wamekuwa wakiquote ile headline nyingine ya real estate from 2017 Hadi saahii even when things on ground are extremely different.😂😂😂
Nimeona mtu akisema Demand of residential buildings in Dar is high kuliko Nairobi, now ask him to show you the buildings that are currently under construction to meet such demand uone vile anaruka😂😂🤣
 
Nimeona mtu akisema Demand of residential buildings kuliko Nairobi, now ask him to show you the buildings that are currently under construction to meet such demand uone vile anaruka😂😂🤣
Bana. Yani if I take Parklands alone, it has more apartments than the whole of Tanzania combined under construction alafu mtu anataka kukuambia Dar has more demand for apartments than Nairobi. 🤣 🤣 We literally have over 90 apartment buildings over 20 floors under construction right now in Nairobi. Meanwhile, ask them to show you one building in Dar under construction over 20 floors and they will struggle. Hawa watu hawananga common sense.
 
Alafu anajigamba ati hatujui laws of demand and supply 😂😂🤣.

Kwao hiyo supply ndio hakuna, so that law can't be applied in Dar cause it's a one sided scenario 😂🤣
 
Bana. Yani if I take Parklands alone, it has more apartments than the whole of Tanzania combined under construction alafu mtu anataka kukuambia Dar has more demand for apartments than Nairobi. 🤣 🤣 We literally have over 90 apartment buildings over 20 floors under construction right now in Nairobi. Meanwhile, ask them to show you one building in Dar under construction over 20 floors and they will struggle. Hawa watu hawananga common sense.
Even Mombasa is building more towers than entire Tanzania.

One thing they don't understand with Kenya is that there is over supply while kwao there's no supply at all.
 
Halafu affordable Housing has also added to the glut. We just have too many apartments and still building.
 
Usipokuwa na elimu ya kitu flani ukaage kimya.
Hapo unaambiwa kuwa dar es salaam rent inakuwa kubwa sababu demand ya kubwa kuliko supply na Inaweza kutokana na kuwa na larger ongoing economic activities kubwa kuliko , Nairobi demand ilhaiendani na mahitaji nyumba nyingi lakini purchasing power ndogo hence lower price .
Mkasomage economics kwanza , usomi sio kiingereza ila ni we uwezo wa kuelewa, sasa kama mtu kama wewe huelewi demand and supply laws , utajulia wapi masuala fluctuation of rents between cities
Na congo je
From your own source
Congo is more expensive than dar and Nairobi
Explain kama primary school dropout tena
...
1000023577.jpg
 
Back
Top Bottom