Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Interestingly, they never understood the report. According to them, they think the report listed the total value of buildings in Nairobi vs Dar. 😆 😆
no wonder your poor, this isnt the first time we spank you
1785262860528.png
 
Interestingly, they never understood the report. According to them, they think the report listed the total value of buildings in Nairobi vs Dar. 😆 😆
Now asked the value of buildings completed from 2017 to 2026. I'm sure hata hazifiki $500m.
 
I think you wrote Tanzania nzima? Kwahio hujui Tanzania nzima yanajengwa majengo mangapi?
Kijana,watu hawana muda tu wa kuhesabu new projects. Kuna majengo mengi sana yanajengwa kuliko wakati wowote ule Tanzania.
Tanzania mzima buildings under construction over 25 floors ni saba.
Zote ziko Dar.
Nusu ni za serikali.
 
Interestingly, they never understood the report. According to them, they think the report listed the total value of buildings in Nairobi vs Dar. 😆 😆

Buda isiwe ngumu kuelewa total value inamaanisha dhamani ya buildings, hapo itabeba Kila kitu , kama mngekuwa na building nyingi na za dhamani lazima mngeizidi dar ila nyumba zenu ni chache na hata dhamani yake bado ni ndogo.
 
CCM propaganda 101 section 2 : Keep repeating same lies over and over for up to 10 years . Eventually the audience gonna accept it as truth.
Unfortunately for y’all , we are Kenyans . We don’t fall for bull….💯😆😆
1785263784209.png
 
Tanzania mzima buildings under construction over 25 floors ni saba.
Zote ziko Dar.
Nusu ni za serikali.

Tanzania sio washamba wakupita barabaraani na kupiga picha nyumba zinazojengwa ukitaka tembea uone,
Then unajisifia kuwa na flats 30 ambazo Kila baada ya miezi miwili zinadondoka
 
CCM propaganda 101 section 2 : Keep repeating same lies over and over for up to 10 years . Eventually the audience gonna accept it as truth.
Unfortunately for y’all , we are Kenyans . We don’t fall for bull….💯😆😆

Atleast CCM propaganda ila vitu vinaonekana , hakuna majengo ynayoanguka ovyo kuliko kule ambako kuna kibali error mnajisifia kuwa na flats nyingi ila daily majengo yanadondoka kwa sababu ya quality mbovu
 
waacha dawa iwaingie watakaa vizuri tu, ni vilew news imekuja mda wamechakazwa 4
 
Back
Top Bottom