Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That’s was nice comedy…🤣🤣🤣… ur funny … I mean it ..But I appreciate you recognize we were once Kings Of CECAFA for many years . Time has changed and with proper management we can rise again like a phoenix 🐦‍🔥!..
Stay tuned for 2027 AFCON…🤪
2027 sidhani. Yes mtacheza kwa hamasa na kupata hiki na kile.
Hakuna investment yeyote inafanyika kwenye timu ya taifa, na hata mshahara ni shida kwa wachezaji. Yaani mko miaka ile ya 1998 Tanzania.
 

EMU TZ,
3hrs Dar to Dom , 450km
Demand imefanya ziungwe set mbili.
 
Nyamwezi umekuja kujifariji baada ya kuamini kabisa kwamba you live a better life than Egyptians?
Screenshot_20260728-044353.png

🖕🖕
 
What’s unique about these pictures?
Kijana ya Mbeya, you might wanna do a bit of research before making a fool out of yourself.
There are several factors and dynamics affecting growth or population density of certain areas of a country as opposed to the other and this natural rule has applied since human existence and still does all over including in the good ol’ US of A View attachment 3638005
UAE
View attachment 3638006

MDG
View attachment 3638191
You're wasting your time bro. This particular character is loyal to his own reality. Just let him wallow in his own ignorance.😂
 
South Africa and Morocco are not same level ..at least in women football matters .
Kenya under 17 women put 5 goals against South African counterparts few weeks ago to qualify for the World Cup ..
You are lucky you are drawn in a soft group unlike Kenya’s group of death . But let’s see what’s next . It’s just one game .
Analinganisha mwindaji aliyeuliwa na ndovu kwa mwindaji aliyeua sungura.😂😂😂
 
Tatizo lenu Wakenya mnaongea sana na majigambo. Miaka yote mnajiona mko juu na kujikweza kwa maneno wakatihuo sisi tuko ground tunafanya kazi na kujijenga.

Sasa reality ndio imewashika na taratibu inaanza kuwafunza adabu.

Management, support na consistence ndio vitu pekee vitawatoa hapo mlipo.
It is interesting how you bongolalas keep regurgitating this nonsense when 70% of this thread is literally you boasting and talking too much.
 
Analinganisha mwindaji aliyeuliwa na ndovu kwa mwindaji aliyeua sungura.😂😂😂
Una uwezo mdogo wa kufikiri.
Rankings.
CAF, Nigeria ni namba 1
SA ni namba 2
Morocco ni namba 4
Tanzania ni namba 18
Ni huwa hamtaki kukubali kuwa soka la Tanzania ni kubwa na bora kuliko lenu ndio maana mnadharau kila ushindi wa Tanzania.
1785222113489.png


1785222234201.png
 
Have you noticed the last 3 pages has been just yourself posting recycled old photos and arguing with yourself like a mental case . All residents of East Africa are asleep except you ….. and you wonder why we call you jobless mooching on your mama or a rich overseas boyfriend 😆😆( nobody’s real Daddy would allow his son to be a bum)..anyways, suit yourself, nun of ma beeswax …🤣🤣
relax madame apo nmegusa tu kidogo, we are serving you HD slum images
 
Kenyan football had some takeaway glories way back in the Stone Age; those days are gone and buried.
Today's Gor Mahia is a gang of night robbers who play football during their leisure time.
which glory? Infact hata sehem ya kuchezea walikua hawana before CHAN, walikua wanacheza either tz ama uganda all of the matches

1785222669968.png
 
Football is not their cup of tea 😁
mwaiofhawaii wants to fit in football alafu inamkataa 😂 anasema eti 2 years are enough to make the latest champion weak 😂😂😂😂 hajui izi football nation zina miradi ya mda mrefu sema mwanaetu Teargass na Nicxie kama wamekaa kimya sana shida ni nn vijana? mbna ni goli 4 tu mwakan mtakula nyingi zaidi
 
Back
Top Bottom