Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

EMU TZ,
3hrs Dar to Dom , 450km
 
EMU TZ,
3hrs Dar to Dom , 450km
Mwanaetu mbna kama dongo ilo maaana kuna watu ni 8 hrs
 
Kitu kuhusu Tanzania, sisi maendeleo yako distributed everywhere kuanzia East, West, Central, North, North East, North West, South, South East, South West etc

Tofauti na Kenya ambayo ukichora straight horizontal line katikati na kusplit Kenya into two, utagundua all the good stuff zinapatikana in the lower half. The upper half imejaa maeneo masikini na mabaya sana kama Wajir, Mandera, Turkana nk. Mko na maeneo mabaya ambayo yanafanana kabisa na South Sudan. Tanzania hakuna ujinga huo

Hii ni Mbeya, 900km from Dar, South West of the country (Southern Highlands) and still ni pasafi na pamestaarabika kuliko takataka mlizonazo Kenya, especially the whole upper half, meanwhile sisi hatuna maeneo takataka kama hayo

📍Mbeya
View attachment 3637751View attachment 3637750View attachment 3637752View attachment 3637753View attachment 3637754View attachment 3637755View attachment 3637756View attachment 3637758View attachment 3637759View attachment 3637760View attachment 3637761View attachment 3637762View attachment 3637763View attachment 3637764View attachment 3637765View attachment 3637766View attachment 3637767View attachment 3637768View attachment 3637769View attachment 3637770View attachment 3637771View attachment 3637772View attachment 3637773View attachment 3637774View attachment 3637776View attachment 3637777
What’s unique about these pictures?
Kijana ya Mbeya, you might wanna do a bit of research before making a fool out of yourself.
There are several factors and dynamics affecting growth or population density of certain areas of a country as opposed to the other and this natural rule has applied since human existence and still does all over including in the good ol’ US of A
IMG_2142.png

UAE
IMG_2141.jpeg


MDG
IMG_2143.jpeg
 
What’s unique about these pictures?
Kijana ya Mbeya, you might wanna do a bit of research before making a fool out of yourself.
There are several factors and dynamics affecting growth or population density of certain areas of a country as opposed to the other and this natural rule has applied since human existence and still does all over including in the good ol’ US of A View attachment 3638005
UAE
View attachment 3638006

MDG
View attachment 3638191
Bruhh 🤦🏼🤦🏼
Hizo unazonionesha ni population distribution, na sio maendeleo
Northern Kenya iko na watu wengi tu lakini maendeleo hakuna. Mfano mwepesi county ya Wajir, ina watu laki 8, Northern Kenya ina watu takribani milioni 6. Hao ni watu wengi ila still maeneo yanafanana na South Sudan or worse
Mji wa Wajir una watu 180K and still looks like hell. Nini huelewi hapo.
 
Mwanaetu mbna kama dongo ilo maaana kuna watu ni 8 hrs
Brutal 8hrs , Halafu seats ni Kama Mbao, Ngumu balaa, njia ya reli ni jointed, train ni nginjanginja la mwaka 1976 linatumia fossil fuel linanyata speed ya 53km/hr
Reli ya SGR ya Tanzania ni continuous welded , kuna wakati EMU zinaenda hadi 180km/hr na ukiwa ndani huhisi kitu, just calm, comfort and smooth ride,
Kwanza picha linaanza dude la wakunya limepanda hewani hatari unahitaji ngazi kupanda
IMG_4097.jpeg

IMG_4090.webp
 
Brutal 8hrs , Halafu seats ni Kama Mbao, Ngumu balaa, njia ya reli ni jointed, train ni nginjanginja la mwaka 1976 linatumia fossil fuel linanyata speed ya 53km/hr
Reli ya SGR ya Tanzania ni continuous welded , kuna wakati EMU zinaenda hadi 180km/hr na ukiwa ndani huhisi kitu, just calm, comfort and smooth ride,
Kwanza picha linaanza dude la wakunya limepanda hewani hatari unahitaji ngazi kupanda
View attachment 3638196
View attachment 3638197
Na nauli yake sasa utacheka
 
Back
Top Bottom