Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo injinia unataka kusema it will cost more to add a bunch of overhead wires and weld a few joints, than to build the entire railway? 😂
Wewe caretaker kuna mambo above your paygrade.

View attachment 3635074
This is no githeri brother. You need not only a bunch of overhead wires and poles, but you also need an electrical substation every 50 km along the line supported by multiple access points from the reliable national grid.
 
This is no githeri brother. You need not only a bunch of overhead wires and poles, but you also need an electrical substation every 50 km along the line supported by multiple access points from the reliable national grid.
sasa ivo utakua unawakatisha tamaa 😂 😂 ukizingatia umeme wenyewe wa kuwasha taa za washroom wanachukua Uganda, waambie tu jitahidi na nyie muweke ya umeme

1784799003392.png
 
Heb usizipe hadhi ambazo hazina, they’re not even close to be given a ward status. Hizo ni vichaka empty wanazotupigianazo kelele tu hapa, hatuna cha kujifunza kutoka kwa hizo empty fields.
😂😂 Eti wanataka tujifunze kutoka kwa Konza na Tatu. Failed projects
Ni kweli hamna cha kujifunza. Sasa delegation ya wanyamwezi wenzenu walikuja kufata nini Konza kama hamna cha kujifunza kutoka huko?
 
Ni kweli hamna cha kujifunza. Sasa delegation ya wanyamwezi wenzenu walikuja kufata nini Konza kama hamna cha kujifunza kutoka huko?
I remember at one time kuna mtu aliniambia mradi ulianza toka kibaki mpaka leo haujaisha i was curious kwenda kuangalia what type of project was it 😂😂😂 only to see how it looks online
 
Ni kweli hamna cha kujifunza. Sasa delegation ya wanyamwezi wenzenu walikuja kufata nini Konza kama hamna cha kujifunza kutoka huko?
BTW mbna cities nyingi tu ambazo zmeisha, izo achana nazo zishabuma focus on finished cities, izi zimeisha kabisa both humans and animals live here
1784799533246.png


1784799554984.png
 
Kisu inamdunga mpaka DRC.
Usidhani tumesahau ata wao wanajenga rail to Angola port to bypass bongolala 😂

Hio SGR yenu ya mbio, why is it still carrying a tiny fraction of Kenya's SGR cargo annually?
Alafu, you electrified your SGR, only to achieve speeds I hit with my car daily.

Tanzania SGR is a slow speed electric train. Probably the slowest electric train in the world 😂😂

To make matters worse, your SGR lower classification does not even allow double stacking containers. Tracks hazina enough foundation, na pia waya za stima juu inazuia.

Unasema SGR yenu iko na mbio. Matatu pia iko na mbio kuliko basi.
Itabidi mwende Kigoma raundi tatu ndio mbebe mizigo kama sisi raundi moja.

View attachment 3634979

Kenya SGR Double stacking.
View attachment 3634980

Wewe ni mpumbavu na fala plus..

Lobito corridor haiwezani na central corridor hata kidogo. Ni kitu kingine.. ni ishu ya power struggle na geo politics... Hii Iko juu ya uwezo wako... China anafadhili miradi yake na kutumia miundombinu yake na the same kwa Lobito na ufadhili wa US... Hapo lake Tanganyika umeona vessel hapo unadhani hawajui hiyo Lobito? Au unajua wachimbaji wenye migodi mikubwa huko Congo ni kina nani?

SGR ya Bongo unaweza ku compare na hiyo Chuma chakavu ya kemyata family? Kuanzia speed, modernity, exle load per wagon etc? Unajua mwendo wa mombasa Hadi malaba kwa hiyo Mali Kobe yenu ni sawa na SGR yetu kupiga trip 2 from Dar to Kigoma? Unadhani wata prefer usafiri gani huko Uganda, Congo, Rwanda na Burundi? Hakuna kutumia fossils.. clean energy... Na Umeme upoo na unabaki hauna kazi..

ATI matati ina speed kuliko bus... Unajua mambo ya RPM wewe kwenye magari? Ukubwa wa engine na mzunguko wa tairi? Unazidi kuonesha vile ulivyo fala..

Halafu unajua operations za mizigo SGR ya Bongo zimeanza lini? Wewe tulia... Kama tulivyovunja rekodi kwenye upande wa Abiria kwa kulinganisha na hiyo Chuma chakavu ya kenyata family bhas subiria ripoti ya SGR ya mzigo soon. Hadi December tayari titakuwa na figure nzuri tu.
 
Back
Top Bottom