stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,362
- 39,576
jana nimemwambia ivi, ningekua mm ni yeye saaahv ningekua nalia because the only client they have anaenda kutia saini sehem ingine 😂😂Wewe ni mpumbavu na fala plus..
Lobito corridor haiwezani na central corridor hata kidogo. Ni kitu kingine.. ni ishu ya power struggle na geo politics... Hii Iko juu ya uwezo wako... China anafadhili miradi yake na kutumia miundombinu yake na the same kwa Lobito na ufadhili wa US... Hapo lake Tanganyika umeona vessel hapo unadhani hawajui hiyo Lobito? Au unajua wachimbaji wenye migodi mikubwa huko Congo ni kina nani?
SGR ya Bongo unaweza ku compare na hiyo Chuma chakavu ya kemyata family? Kuanzia speed, modernity, exle load per wagon etc? Unajua mwendo wa mombasa Hadi malaba kwa hiyo Mali Kobe yenu ni sawa na SGR yetu kupiga trip 2 from Dar to Kigoma? Unadhani wata prefer usafiri gani huko Uganda, Congo, Rwanda na Burundi? Hakuna kutumia fossils.. clean energy... Na Umeme upoo na unabaki hauna kazi..
ATI matati ina speed kuliko bus... Unajua mambo ya RPM wewe kwenye magari? Ukubwa wa engine na mzunguko wa tairi? Unazidi kuonesha vile ulivyo fala..
Halafu unajua operations za mizigo SGR ya Bongo zimeanza lini? Wewe tulia... Kama tulivyovunja rekodi kwenye upande wa Abiria kwa kulinganisha na hiyo Chuma chakavu ya kenyata family bhas subiria ripoti ya SGR ya mzigo soon. Hadi December tayari titakuwa na figure nzuri tu.
meanwhile sisi uku tuna SADC nzima plus EAC